Mnanishari kipi nifanye au nirekebishe katika website yangu?

Simeone

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
672
623
Habari zenu wanajamvi, Nina website yangu hapa nimeunda

Mnanishauri kipi nirekebishe au kipi nifanye katika website yangu? Ikague tovuti yangu kupitia link hii -->SixTers - Simple Moblie Chat and Flirt Place Everywhere

Nasubiri Comment zenu
79678052_575446556336175_1561629407083233280_n.jpg

81090551_575449166335914_3882835467070078976_n.jpg
 
Sijafungua hiyo link kwa muonekani wa picha tu bado una safari ndefu ya kwenda.....
Jifunze haya Mambo kwa undani sana ( from scratch)
1. HTML
2. CSS
3. JavaScript

Ukimaliza hapo jifunze principles of UI/UX design.
Ukimaliza hamia kwenye polular frontend frameworks Kama bootstrap,jquery fontawesome, na angular js.

Ukiona programming is funny just go with php + MySQL
Au hata node js + nosql.

Ukitaka kuepuka kureinvent the wheel go for popular backend frameworks Kama laravek au symfony...

Kijana kaza buti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu!
 
FUATILIA HUU UZI UNA MAJIBU
 
Hiyo si fb clone,,hiyo web yako ni phishing,,,good try so
....labda unaweza kwenda kuwashitaki fb kwa kukuibia idea,mawazo,yako,,ubilionea nje ,nje
Unakuita ni wewe tu,ushindwe mwenyewe,,kwenda mahakamani..
 
Back
Top Bottom