Ushauri kuhusu Epson l 382 printer

baiser

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
1,456
2,179
Ndugu wana JamiiForums nimeandika kitabu changu kidogo cha kama page 100 hivi, kutokana na kuwa na budget ndogo kama laki 7 hivi kuna mtu kanishauri kununua printer, paper cutter na stepla ili nitengeneze kitabu mwenyewe baada ya kudesign cover ya kitabu na kila kitu. Hii ni kutokana na gharama kubwa ya kupeleka kwa printing company hasa ukiwa na hela ya copy chache.

Naomba ushauri je hili wazo linamashiko au niendelee kujichanga mpaka nipate hela zaidi?

NB: Natamani sana kitabu changu kiingie mtaanI hata kwa kutotengeneza faida ila watu wakisome na kupata elimu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom