Kununua Games Steam

Kununua Games Steam

mkhande95

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
308
Reaction score
180
Habari zenu wakuu,

Niende kwenye swali moja kwa moja. Naomba kuuliza wenye uzoefu wa ku-purchase PC games kutoka katika steam account HV ukishafanya mwamala wote ule wa kununua game, inakuwa inajidownload yenyewe na kujiinstall au ukishainunua uwe tena nankifurushi cha kuidownloas na kuinstall?

Shukrani.
 
Swali rahisi, halihitaji mambo mengi kwani wanaokupa bando ni steam au Voda,Airtel,tigo,halotel n.k?!.
 
Nina maana baada ya hapo nitakuwa na haja ya kuinstall km inavyotoka ocean of games?
 
Na hii steam nasikia ni nafuu na ni nzuri sio kama ocean of games unadownload nyingine ukija kuinstall inagoma?
Steam sio nafuu, ni store kubwa ya games hivyo huko unakuta bei halisi.

Sema kuna uchakachuaji wake mtu ambae ameshanunua game anakupa account yake then unacheza game lake sema njia hii inataka ucheze kwa offline mode huwezi cheza online.
 
sorry mkuu naomba kuuliza.... Humu kweny hii software kama nadownload naweza ku-pause downloads na kuja kuendelea tena kwa mfano labda kifurushi kikiisha nikajiunga tens na kifurushi? Shukrani....
 
Sijawahi kupause. Ila software kama hizo zinakuwa na hizo features.
 
Back
Top Bottom