Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

A US man has sold the domain name pizza.com for $2.6m (£1.3m) - after maintaining the site for just $20 a year since 1994. Chris Clark, 43, accepted the offer from an anonymous bidder after a...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wasalaam Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji batter ya hii pc hapa inayoweza kukaa na charge angalau masaa 5. Nakaribisha offer. Itapendeza ikiwa battery mpya.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, Nina machine ya EFD incotex133 amekuja mteja nikataka kumtolea risiti nimefanya transaction zote lakini haitoi risiti nimejaribu mara mbili lakini imegoma. Sasa itakuwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu husika na heading hapo juu, kila IDM nadownload inaleta shida. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kumekuwa na ongezeko la watu ku-adiana au kuingizwa katika magrupu ya WhatsApp, wakati mwingine wanaofanya hivi hata huwajui na utalazimika kusubiri maelekezo. Ili kukabiliana na hilo kuna namna...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kwa mwenye ushauri juu ya hili tatizo wakuu,natumia Tecno c7
0 Reactions
19 Replies
7K Views
.....na copy na ku paste words, lakini imekataa ku copy wala ku paste words toka kwenye picha. Yaani inakuwa km ina copy picture yote badala ya ku copy words peke yake, maana Mimi nina shida na...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Mimi ni mteja wa AZAM TV sasa ni mwezi wa pili. Sina uhakika kama tatizo ninalolipata linawapata wateja wengine wa AZAM TV. Suala ni kwamba mvua ikinyesha kidogo tu basi ianakatakata na wakati...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Hivi karibuni WhatsApp itasitisha programu yake kwa mamilioni ya simu baada ya kutangaza kwamba programu hiyo itaacha kufanya kazi katika simu za zamani. Kampuni hiyo inayomilikiwa na Facebook...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Nimejaribu nimeshindwa!...je inawezekana kuwa na akaunti za what's app zaidi mbili kwa line tofauti za simu kwenye simu moja?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Kama Kichwa cha habari kinavyosea, naomba msaada kwenye mambo yafuatayo; 1. Namna ya kutuma meseji kutoka kwenye email ikaingia/ikaenda kwenye namba ya simu ya kawaida. Mfano kutoka...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Kila nikijaribu kuinstall inaload sekunde chache halafu process inashindikana simu inarudi kawaida Je, tatizo ni kwangu tu?au simu yangu.ndogo tecno C8? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mtandao uliokuwa maarufu duniani kote Vine umefanya mabadiliko na sasa utatambulika kama Byte. Vine kwa miaka kadhaa ilisimama imara kabla ya kupigwa vikumbo na magwiji Instagram, Snapchat na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za kuamka members wa jf nina card ya bank ya NMB MASTERCARD na iko verified kufanya online purchase na nishaijarb mara kadhaa cha ajabu PayPal hawaitaki kila nikijarbu ku link...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Kioo cha samsung S6 ni bei gani used na kipya? Simu yangu imevunjika vibaya sana. Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari za muda huu, nahitaji kufanya recovery katika computer ambayo ina window mpya na file nalo kuhitaji lilikuwa katika window ya zamani ambayo niliiformat nitumie njia gani ili niweze...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Jamii yangu ya humu ndani. Nasikitika sana baada ya masaa kadhaa kupita ndio napata notification kwamba kuna mtu/kikundi cha watu wameweza kuingia kwenye account yangu ya twitter na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi wakati wa kuseti dishi huwa natumia receiver lakini kuna hako kakifaa nimepata sijui kama katanisaidia maana sijawahi kukatumia. Hivyo naomba aliyewahi kukatumia anisaidie kujua kama katakuwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimekuwa offline toka mwezi June kwenye Akaunti yangu ya Whatassap ila leo nataka Kurudisha Akaunti yangu tena, Je zile Sms nilizotumiwa tangu nikiwa Offline nitazipata?. Nashukuru.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…