habari za leo. Nawataarifu kuwa kuna wezi wanazunguka kwenye vituo mbalimbali wakidanganya watu kuwa wanawarekebishia vifurushi vilivyotajwa na Mh Raisi. Wana swap simcars kuchykua taarifa za...
Habari wakuu?
Msaada kwa watu waliopo kinondoni ambao wanafaham SP ambae anatumia fibre. Nimejaribu Zuku ila wanaishia Ada estate, kama kuna anaefaham nyingine iliyo vizuri msaada tafadhari...
Salam wakuu
Nilikuwa natafuta game la PES 19 offline kwa simu za Android nimejaribu Kusearch Google lakini ninayokutana nayo ni ya online, kwa ambae analo la offline naomba.
Sent using Jamii...
Wakuu salama?
Nimejaribu kufanya malipo kwa Netflix kupitia Visacard lakini haikubali. Nilisajili kupitia App yao ila ukifika pale kuweka namba za kadi ya benki inakatalia hapo.
Nahitaji...
Jeshi la Maji la Uingereza limefanya majaribio ya kutumia mavazi maalum yanayomwezesha mtu kupaa kwa lengo la kuboresha operesheni za kuzuia uharamia baharini.
Kampuni ya utafiti wa teknolojia ya...
Wakuu habari bila shaka mu wazima.
Wakuu naomba kujuzwa nawezaje kuchora michoro mizuri hasa ya physics na mathematics kwa muda nao andaa mtihani
Huwa naona muonekano wa michoro ya kwenye...
Adobe Photoshop Lightroom 5 Multilingual
Software informations
Publisher (s) : Adobe Systems Incorporated
Os Software : Windows
Compatibility : Windows 2000/XP/Vista/7/8
Licence ...
wakuu habari za mda huu,
Wakuu leo nimepoteza simu ni samsung galaxy A31 hivi naweza kuipata nna imei namba zake kwa sababu box lake ninalo.
Naomba kuwasilisha.
Wajasilimali wengi wamekuwa wakiishia katika majonzi mazito na kukata tama baadaya ya kujikuta yale walio tegemea kutoka katika tekinolojia hii ya kutotoa vifaranga kwa kutumia mtambo...
Hello World.
Huu uzi ni special kwa Junior front-end developers au experienced back-end developers ambao wanataka kujifunza mawili matatu kuhusu Front-end designs
Pia, ni special kwa wale wote...
Kama kichwa kinavyosema,
Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sana. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni...
Toka apple ameachia processors za Silcon M1 based on ARM achirtecture, ambapo zimeishinda processor ya intel yoyote yenye nguvu katika single thread kuanzia kwenye graphics rendering, na kila kitu...
Naombeni msaada wa jinsi ya kuona likes kwenye post za instagram maana nimeuliza instagram centre maelezo wanayotoa na instagram yangu ipo tofauti kabisa kama unajua naombeni msaada wenu.
Naona sikuhizi ukiwa na bajet yako ya kuanzia laki 4 na kuendelea karibu kila simu ina uwezo wa kutoa picha safi tu,
nahisi 2025 kigezo cha kamera kitakuwa sio tatizo kabisa
Mwaka jana (2020) mwezi wa kwanza TCRA ilitoa wito ya watu wote kutumia .co.tz na ukitumia .com ni kosa ambalo unaweza kulipishwa faili au kifungo.
Swali langu ni je, mpaka sasa sheria hiyo ipo...
Natumia modem ya huawei wingle ambayo pia ina wifi, changamoto kubwa inakuja kuwa watu wanaopata wireless kutoka kwangu wanatumia kwa rafu hivyo inaisha mapema, je kuna njia ya ku limit data au...
Habari wana jamvi!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, hizi ni frameworks zinazotumika katika back end web development!
Django ni framework for python na laravel ni ya PHP!
PHP ina framework...
Application hii ambayo nimeitengeneza ikiwa ni sehemu ya kujifunza Computer programming ,inawezesha kuingiza neno moja halafu,herufi za hilo neno zinaweza kutumiwa kuunda maneno mengine.Mfano...
Habari ya jioni ndugu zanguni nilikua naomba kuuliza picha ya kuscani inakuaje pindi pale unapochora kwa pencil na kuuscani katika Epson printer au photocopy machine.
Kwa maana nilijaribu kuscan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.