Msaada: Malipo ya Netflix

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,287
2,441
Wakuu salama?

Nimejaribu kufanya malipo kwa Netflix kupitia Visacard lakini haikubali. Nilisajili kupitia App yao ila ukifika pale kuweka namba za kadi ya benki inakatalia hapo.

Nahitaji kufaidi Netflix, msaada tafadhali
 
Unatumia visacard ya benki gani.Kwanini usitafute tu line ya Vodacom; ukatumia MPESA mastercard.Ni rahisi sana
 
Unatumia visacard ya benki gani.Kwanini usitafute tu line ya Vodacom; ukatumia MPESA mastercard.Ni rahisi sana
Nina visa card za CRDB na FNB ila zimegoma. Line ya voda ninayo ila mchakato huo wa mastercard ndio sijaufahamu vizuri
 
Nina visa card za CRDB na FNB ila zimegoma. Line ya voda ninayo ila mchakato huo wa mastercard ndio sijaufahamu vizuri
  1. Ingia kwenye Menu ya M-Pesa kwa kubofya * 150 * 00#
  2. Kisha chagua namba (4) Lipa kwa M-Pesa
  3. Kisha Chagua namba (6) M-Pesa MASTERCARD
  4. Kisha Chagua namba (1) Tengeneza Kadi
  5. Baada ya hapo utapata taarifa zako za muhimu za kadi yako kwa njia ya SMS, hakikisha unatunza namba zako za kadi pamoja na CVC kwani hivi ndivyo unaweza kuvitumia wakati wa kufanya manunuzi mtandaoni.
  6. Pia ukishatengeneza card rudia step namba 1-3, utaona sehemu ya kuhamisha hela kutoka mpesa kwenda kwenye kadi
 
Mkuu ukitaka nitakuuzia netflix kwa bei poa sana muda wa mwezi.
nione pm whatsap +1 5155180006
 
Bado naendelea na ofa ya kutoa channel ya Netflix yenye unlimited bandle hutohitaji kulipa tena kifurushi . Ni wewe tu na bando lako njoo PM na ofa yako.
 
Back
Top Bottom