Msaada wakuu mwenye game la PES 19 la offline kwa simu

Msaada wakuu mwenye game la PES 19 la offline kwa simu

Introver

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2019
Posts
569
Reaction score
660
Salam wakuu

Nilikuwa natafuta game la PES 19 offline kwa simu za Android nimejaribu Kusearch Google lakini ninayokutana nayo ni ya online, kwa ambae analo la offline naomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna link mbili ya apk na obb
Download apk kisha install usifungue then obb inakua mfumo wa rar exctract afu iweke kwenye storage >> android >> obb then unaweza kucheza
Nilifanya hivyo lakini bado hali ileile
Au unalo obb lake unisaidie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama onvyo ona hapo
Kuna link mbili ya apk na obb
Download apk kisha install usifungue then obb inakua mfumo wa rar exctract afu iweke kwenye storage >> android >> obb then unaweza kucheza
Screenshot_20200208-132447.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
fungua bila data connection,
Obb ni kubwa san kuziupload ni kaz kidg
Ikikuzingua chukua ili ni moded pes 20vikosi vya msim huu ina kickoff,career,tournament kam epl laliga n.k ni la offline fata hatua zote pia unaweza kusoma maelezo naamin yatakuvutia
Nikifungua bila data connection inaandika network error

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa kuna apk,data mod na obb
Inaonekana kuna file kwenye folder la obb linamiss
Kwenye folder la jp.konami.pesam kunatakiwa kuwe na file mbili main na patch,
sijui ilo folder lina file ngapi hapo kwako
Unajua kuhack game bila kuroot simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada kwangu baada ya kodownload na ku unzip linalet to Obb file ambazo haziwez kufunguka nmekosea wap?
 
Yeah lakini inategemea unataka kuhack nini,
kwa njia ya sim ni hack ndogo ndogo kama in app purchases vile coins,ads n.k
hack za maana kama graphics na scripts hadi kwenye computer unadecompile apk unaiedit then unaicompile
Nataka kuhack score hero kupata unlimited energy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza download lucky patcher link hii hapa chini

http://lucky-patcher.en.uptodown.com/android/download

Baada ya kudownload install kisha ifungue utaona orodha ya apps zako chagua soccer hero
Screenshot_2017-10-01-09-09-14

Kisha SELECT “OPEN MENU OF PATCHES”
Screenshot_2017-10-01-09-10-02

Then SELECT “CREATE MODIFIED APK FILE”.
Screenshot_2017-10-01-09-10-06

Kisha SELECT ” APK REBUILT FOR inAPP AND LVL EMULATION”.
Screenshot_2017-10-01-09-10-10

Itakuonyesha THREE OPTION (FIRST 2 SELECTED) SELECT REBUILD THE APP.
Screenshot_2017-10-01-09-10-32

A “PLEASE WAIT” SCREEN WILL APPEAR,

Itatumia 5-10 MINUTES. Ikimaliza SELECT GO TO FILE, SELECT THE FILE AT THE UPPER SCREEN THEN SELECT UNINSTALL AND INSTALL(2nd option). U WILL NOW UNINSTALL THE PREVIOUS ONE AND INSTALL THE NEW ONE.
THEN YOU ARE GOOD TO GO!

Pia unaweza kupata lililo kuwa moded tayari kupitia hii link
hii yote ni bila kuroot simu?
 
Back
Top Bottom