Naomba kujuzwa namna ya kuchora michoro ya physics na mathematics

f de solver

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
1,587
2,000
Wakuu habari bila shaka mu wazima.

Wakuu naomba kujuzwa nawezaje kuchora michoro mizuri hasa ya physics na mathematics kwa muda nao andaa mtihani

Huwa naona muonekano wa michoro ya kwenye mitihani ya taifa ina muonekano mzuri sana

Je, wanatumia nini?

Ni application au ni nini?

Natamani sana niwe competent kwenye hicho kitu

Kuna wengne walinishauri nitumie PAINT haswa navo type kazi yangu katika ms word japo nashindwa kuna michoro ni complicated mfano unachora mchoro wa circuit yenye several resistors.

Pia kuna baadhi ya michoro niliweza kuchora kwenye hiyo PAINT shida ikaja kuitoa huko kuleta kwenye ms word napo type kazi yangu.

Naombeni msaada wenu shida yangu niweze kuchora vizuri hii michoro ili kazi yangu iwe perfect kwa kiasi chake.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,578
2,000
Hata ms word unaweza, sijajua hio michoro ni migumu kiasi gani.

Ungeeka mfano Ingekuwa Bomba zaidi.
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,600
2,000
Wakuu habari bila shaka mu wazima.

Wakuu naomba kujuzwa nawezaje kuchora michoro mizuri hasa ya physics na mathematics kwa muda nao andaa mtihani

Huwa naona muonekano wa michoro ya kwenye mitihani ya taifa ina muonekano mzuri sana

Je, wanatumia nini?

Ni application au ni nini?

Natamani sana niwe competent kwenye hicho kitu

Kuna wengne walinishauri nitumie PAINT haswa navo type kazi yangu katika ms word japo nashindwa kuna michoro ni complicated mfano unachora mchoro wa circuit yenye several resistors.

Pia kuna baadhi ya michoro niliweza kuchora kwenye hiyo PAINT shida ikaja kuitoa huko kuleta kwenye ms word napo type kazi yangu.

Naombeni msaada wenu shida yangu niweze kuchora vizuri hii michoro ili kazi yangu iwe perfect kwa kiasi chake.
Circuits ina software zake mahususi.
Google free circuit design siftware.
Ukichora tumia screen print utakuwa umepata mchoro wako.
Software zingine zina print option.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom