Internet Service Provider (fiber) Kinondoni

taekwondo

Senior Member
Oct 6, 2016
122
206
Habari wakuu?

Msaada kwa watu waliopo kinondoni ambao wanafaham SP ambae anatumia fibre. Nimejaribu Zuku ila wanaishia Ada estate, kama kuna anaefaham nyingine iliyo vizuri msaada tafadhari.

Nimechoka kununua unlimited za mitandao yetu hii.
 
Wapigie mmoja mmoja, Raha, Home faiba na CTV, ila kinondoni Morocco for sure Zinafika, na kama upo uswahilini sana haifiki pengine kuna Ambao wanazidi kidogo.

Pia kama inafika karibu na nyumbani na haijafika nyumbani waweza kui extend na Antenna ya wifi.
 
Mkuu hii kitu kwa TZ naweza kuipata wapi?

2766734_mobile-signal-booster-1599799459-1072055.jpg
 
Mkuu hii kitu kwa TZ naweza kuipata wapi?

View attachment 1777385
Sijui mkuu ila vipo vya kutosha,

Hawa maisha wanavyo sijajua wanauza kimoja kimoja ama wanafungia tu kampuni

Umeshajaribu maduka makubwa kama Meghji mjini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom