Naomba msaada wa kuwapata wataalamu wa Cyber Crime

Zabron Hamis

Zabron Hamis

Verified Member
1,905
2,000
Nenda karipoti polisi kwanza. Hao ndio watathibitisha kuwa wewe ni mmiliki na sio tapeli unayetaka kudhulumu simu ya watu
 
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
12,494
2,000
Sikukatishi tamaa ila Mkuu IMEI namba inabadilishwa ndani ya dakika kadhaa, kama ni samsung yaweza kusoma sony, nokia n.k

Kwa kweli TCRA iongeze mitambo ya kisasa zaidi.

Pili Mkuu kibongo bongo kukamatwa kwa njia ya kutrace ni ngumu mno, sana sana watajua yupo kijiji kipi. Mbali na hapo itabidi watumie data za mtu anaishi wapi n.k kupitia NIDA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stickvibration

stickvibration

JF-Expert Member
3,128

Mkuu kwani kuna uwezekano wa kuibadili IMEI namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zabron Hamis

Zabron Hamis

Verified Member
1,905
2,000
Sikukatishi tamaa ila Mkuu IMEI namba inabadilishwa ndani ya dakika kadhaa, kama ni samsung yaweza kusoma sony, nokia n.k

Kwa kweli TCRA iongeze mitambo ya kisasa zaidi.

Pili Mkuu kibongo bongo kukamatwa kwa njia ya kutrace ni ngumu mno, sana sana watajua yupo kijiji kipi. Mbali na hapo itabidi watumie data za mtu anaishi wapi n.k kupitia NIDA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kabisa mkuu, muhimu ni kutoa ushirikiano. Kuna njia ambayo polisi huitumia wakishindwa kutrace mojakwamoja (sitaiweka hapa ili kutoharibu kazi za wanausalama wetu)
 
cerengeti

cerengeti

JF-Expert Member
3,890
2,000
Inawezekana kabisa mkuu, muhimu ni kutoa ushirikiano. Kuna njia ambayo polisi huitumia wakishindwa kutrace mojakwamoja (sitaiweka hapa ili kutoharibu kazi za wanausalama wetu)
Wenye vifaa na technology ya kutrace simu hata kama imebadilishwa imei number ni TCRA tu sio polisi. Acha upotoshaji.

Technology hii Ina uwezo wa kutafuta simu popote pale nchini hata kama simu yenyewe imezimwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stickvibration

stickvibration

JF-Expert Member
3,128
2,000
Mrejesho..nilikwenda polisi nikaripoti kwa cyber crime officers na kuwapatia IMEI namba ya sim yng ilioibiwa
Wakanambia nirudi siku ya pili ,,,nikarufi siku hio kisha nikaoneshwa tressing walioifanya na majibu yanaonesha kuwa hio simu bado inqtumia Laini yangu ile ile,,yaani laini haijabadilishwa,cha ajabu tukijaribu kupigia hio laini haipatkani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom