Miaka ya 1990s, TANZANIA ilikuwa inazalisha baiskeli ambazo zilinunuliwa sana na watanzania. baada ya mda zilipotea kwenye soko. mwenye kumbukumbu atujulishe yafuatayo.
1. Kiwanda chake kilikuwa...
Habari Tech Members na Programmers. Kama kichwa kinavyojieleza, natamani kupewa elimu kidogo kuhusu hili swala la open source projects contributions linakuwaje na nawezaje na mimi nika contribute...
Teknolojia inapitia changamoto nyingi pale jambo jipya linakuja na kupokelewa kwa tafisiri mbaya au kuogopa.
Miaka ya iliyopita teknolojia ya barua pepe ilivoingia basi mashirika ya barua...
Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa
Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile...
Kuna tofati gani kati ya volt Watt na Ampia? Unakuta Adapter inatoa volt 12 ina Ampia 2. Au unakuta charger ya simu inatoa volt 5 na Ampia ni 1.5 au 2? Au unakuta Tv guard au volt guard...
Habari,
Msaada, Nahitaji kampuni nzuri ya kugawa mtandao (ISP) mwenye kifurushi poa na mwenye coverage kubwa (Zuku, Simbqnet na Cats hawana coverage huko).
Mteja yuko Chamazi Mbagala
Hello Tech members
Moja kati ya maswali yanayojirudia rudia sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia ni "Nijifunze kipi Kati ya Language Y na Language X
Au kati ya Framework Y na Framework X?"
Kwa...
Ikiwa umefungua akaunti ya paypal ya kenya kwa kutumia namba ya safaricom, kuna probability tatu.
1. Hutodaiwa kuverify chochote utaitumia kwa muda flani mpaka siku ya siku ndipo wakudai uverify...
Kwa wale ambao mlikuwa mnapata tabu ya makato pale mnapoenda kudraw pesa kwakutumia payoneer mastercard sasa airtel wamesolve hilo shida.
Airtel wana huduma ya kuhamisha pesa kutoka mastercard au...
Mitandao mizito sana na mvua hii basi ndio kabisa inakatakata kama tanesco na umeme na mvua na ukiwa na shida unataka kusolve kitu kwa haraka basi ndio inakuwa balaa tupu..
Wadau hebu tupieni...
Habarini za usiku ndugu,
Naomba kuuliza kwa 500,000 ,nahitaji TV flat screen kuanzia inches 43-45 naweza kupata kampuni gani kati ya aborder, Panasonic, TCV au Samsung.
Naombeni msaada kwa...
Wadau napenda kuwatangazia kuwa Sasa bei zetu ni karibu na bure kabisa, na hii ni kwa ajili ya msimamu huu wa sikuu.Huduma zetu ni kama ifuatavyo
1. Website designing
2.Forums and Ecommerce...
Heshima kwenu wakuu,
Naombeni ushauri, ni simu gani ya Samsung Note series ni nzuri kwa matumizi hasa hasa ukizingatia uwezo wa betri pamoja na RAM. Kuna mtu kaniambia nichukue Samsung Galaxy...
Kati pita pita zangu mikoa tofauti nimeshakutana na magari katha ya mebeba hicho kifaa mfano Arusha, mwanza, Kilimanjaro .
Wakuu kama kuna mtu mwenye uelewa naomba atupe maelezo.
A) jina la hicho...
Tanzania ni nchi moja ya ajabu ambo watu wake wengi ni wabinafsi kupita maelezo, mwanzoni walimbeza sana Fernandez na hii naongea kwa experience Kuna ambao niliwauliza kuhusu Nala na Fernandez...
Habari za leo wadau,
Nombeni msaada kwenye hili, nina invetor watt 150, battery (sundar N18) na panel sundar watt 30 na nimetumia waya wa 1.5mm kutokea kwenye sollar panel kuleta umeme kwenye...
Mtu tajiri zaidi duniani bwana Elon Musk amempatia ofa ya $5000 kijana Jack Sweeney ili aiondoe program inayofuatilia safari zote za ndege yake binafsi na kuziweka hadharani kwenye ukurasa wa...
Yaani nataka kufunga dish langu kwa mfano la Azam au Startimes au Zuku ila naweka ile l.n.b bila lile lisahani lake je nikiunganisha hivyo nikaenda kuwasha TV yangu itaonyesha picha?