bajok
Senior Member
- Jun 6, 2016
- 160
- 69
Habari za leo wadau,
Nombeni msaada kwenye hili, nina invetor watt 150, battery (sundar N18) na panel sundar watt 30 na nimetumia waya wa 1.5mm kutokea kwenye sollar panel kuleta umeme kwenye battery. Nimekuwa nikiitumia vizuri kwa kucharge laptop yangu, au simu na kutumia taa 2 (watt 1) bila shida yoyote
Sasa naona juzi nimeconnect invetor kwenye battery ikawaka na kwa sababu ni usiku nikaconect na taa pia, kwa maana ya kwamba vile vibanio vya nyaya za taa nikavibana kwenye vibanio vya nyaya za invetor, mara invetor ikazima!
Baada ya hapo nikaondoa nyaya za taa nikawa naconnect invetor peke ake lakini nikaona kila ninapoweka pale kwenye terminal za battery, invetor inawaka na kuzima hapohapo na ile button ya cicuit breaker inafyatuka (pop up), mda mwingine nikitaka kuconect zinatokea cheche kwenye vile vibanio vya invetor kama vile kuna short hivi.
Sasa sijui tatizo ni nini, kwa sasa situmii invetor natumia tu mfumo ya DC kwaajili ya taa na kucharge simu
Invetor, battery na panel vyote nimenunua mwezi huu huu wa 1
Msaada wenu wadau,
Natanguliza shukrani.