Msaada kuhusu line za simcard za TTCL

Msaada kuhusu line za simcard za TTCL

Jimmy MUsa

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2020
Posts
241
Reaction score
176
Lain za TTCL Mpya zina PIN code Kila ukiwasha simu lazima uweke, haya nimeweka laini kwenye Modem, it is locked, where do I insert zile PIN Sasa?
 
Lain za TTCL Mpya zina PIN code Kila ukiwasha simu lazima uweke, haya nimeweka laini kwenye Modem, it is locked, where do I insert zile PIN Sasa?

Mkuu hili jambo lako ni rahisi sana kila line kwa sasa bila kujali ni mtandao gani inakuja na PIN na unaweza zibadilisha lakini lazima iwe na Pin ukizima ukiwasha lazima ihiitaji Pin!

Sasa kwa wewe chomeka moderm kwenye kifaa chako lazima itaonesha au ku detect kama imesoma na itahitaji ku unlock na itakwambia weka PIN na utaweka hizo PIN

Kama ni kwenye Computer na haijadetect lakini umeweka basi nenda upande wa kulia kwenye zile icon bonyeza pale lazima utaona inasoma line uki click pale ile line itakuletea un lock your sim card na unaweka PIN zako basi!
 
Tupigie tutakurekebishia line yako
 
Back
Top Bottom