IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,861
- 7,475
Habari Tech Members na Programmers. Kama kichwa kinavyojieleza, natamani kupewa elimu kidogo kuhusu hili swala la open source projects contributions linakuwaje na nawezaje na mimi nika contribute kwenye open source projects huko github. Niliona ile app ya TTCl iliyokuwa developed na developer mmoja wa Tanzania (Kagga nadhani ndio jina lake) ilikuwa ni open source project na ilitumia siku chache sana ikawa complete kabisa. Thanks in Advance.