Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,414
Teknolojia inapitia changamoto nyingi pale jambo jipya linakuja na kupokelewa kwa tafisiri mbaya au kuogopa.
Miaka ya iliyopita teknolojia ya barua pepe ilivoingia basi mashirika ya barua yalipinga sana na mpaka kuweka fungu ili kuogopa biashara yao kudoda.
Tukiachana na mfano huo hata paypal ilipingwa sana na kampuni kama western union, money gram hata mabenki kwa sababu zao.
Mark Zuberg baada ya kutambulisha meta ya vr sasa kaanza kulamba changamoto
View attachment 2107689