Ipi Samsung nzuri zaidi katika Samsung Note Series?

Robbykan

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
509
466
Heshima kwenu wakuu,

Naombeni ushauri, ni simu gani ya Samsung Note series ni nzuri kwa matumizi hasa hasa ukizingatia uwezo wa betri pamoja na RAM. Kuna mtu kaniambia nichukue Samsung Galaxy Note 8. Naombeni experience kwa yeyote aliyewahi kuitumia hiyo simu au ushauri tu utakaonisaidia kununua simu ya Samsung nzuri. Nataka nihamie Samsung maana toka nianze kutumia smartphone nimekuwa mteja mzuri wa Tecno. nataka niwahame maana hizi simu life span yake ni fupi.


Kindly help me.

MAONI YA MDAU:

Kwa matumizi ya kawaida kuanzia Note 8 na S8 mpaka Note 10 na s10 ni sawa. Mara nyingi zinakuwa na processor moja, configuration za RAM na internal storage zinazofanana.

Utofauti unakuja hapa.
-Note zinakuwa kubwa upande wa display kuliko S
-Note zinakuwa na kalamu (stylus) unayotumia kuandika, kupigia picha, transision za powerpoint etc
-Note zinakuwa na productivity features nyingi kushinda S mfano built in dex.
 
Asanteni sana wakuu ngoja nione ipi itakuwa kwenye uwezo wangu maana bajet yangu ni Tsh 800,000 automatically hiyo note 10 siwezi kuafford.
 
Back
Top Bottom