Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Shtuka! Kitu unachotakiwa kuangalia kabla hujanunua simu ya "Mtumba" au ile iliyoandikwa "Refurbished" dukani. Watu wengi wakitaka kununua simu kali (kama iPhone au Samsung) kwa bei nafuu...
15 Reactions
22 Replies
642 Views
Wadau mimi si mjuzi sana wa mambo haya nadhani chief mkwawa atasaidia code *#0283# zitakupa details
0 Reactions
24 Replies
46K Views
Habari za muda huu wakuu its Blue monday hope mko poa ambao wanaumwa Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema mtakuwa sawa Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nashindwa kudownload X (Twitter) kwa...
1 Reactions
13 Replies
151 Views
Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo...
5 Reactions
7 Replies
107 Views
HABARI MPYA๐Ÿšจ: Wahandisi wamependekeza chombo kikubwa cha angani chenye urefu wa maili 36 kinachoitwa 'Chrysalis'. Chombo hiki kinaweza kubeba watu 2,400 kwenda sayari ya Alpha Centauri, ambayo ipo...
1 Reactions
18 Replies
264 Views
Mambo vipi wadau! ๐Ÿ‘‹ Nimepata dili za mikopo ya FAFSA na sasa niko kwenye mchakato wa kuchagua akaunti nzuri ya benki (student checking account) kwa ajili ya kupokea hizi hela. Natafuta benki yenye...
0 Reactions
3 Replies
54 Views
Wadau, Kujua Excel Spreadsheets ni muhimu sana... Tunaweza tukashirikishana tricks mbalimbali katika Excel hapa ili tujifunze wote.. Unaweza pandishwa CHEO au Kupata kazi kirahisi Kwa kujua...
100 Reactions
1K Replies
156K Views
Watumiaji wa Galaxy, jiandaeni! Samsung inaendelea na mpango wa kuleta Android 17 kupitia One UI 9, na simu nyingi za Galaxy zitaingia kwenye orodha ya kupata mfumo huu mpya. ๐Ÿคฏ Kama unatumia...
5 Reactions
14 Replies
250 Views
Nawatumia wote hao..lakini kuna wakati mwingine wanakupa majibu ya uongo. Je mwanajf kati yao hao jamaa kwako yupi ana ahueni?
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Msaada wa kupata dj mixing application kwa Android, yenye uwezo mzuri wa kucheza kwa kutafuta BPM bila kukwama
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa hii Redmi hapa Wamepitliza Aiseeh Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu. Redmi...
7 Reactions
15 Replies
205 Views
Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! ๐Ÿ˜ฑ Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. ๐ŸŽจ๐Ÿ“ธ๐ŸŽฌ Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe...
5 Reactions
16 Replies
204 Views
๐ŸŽ Apple alisema โ€œiOS 26 ni salama kabisaโ€ฆโ€ ๐Ÿ˜ haitaweza kuwa na jailbreak ๐Ÿ‘€ ๐Ÿ˜ˆJailbreak community: โ€œHold my iPhone!โ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ Hatimaye developer maarufu ulimwenguni Lars Froder anayejulikana kama opa334...
1 Reactions
3 Replies
93 Views
Wakuu ni application gan nzurinaweza kuitumia kuhack hizi paid apps mfano za betting,ukiachana na Luck patcher?
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Hapa kweli kazi ipo, GitHub kila mara ipo down mara feature hii haifanyi kazi au ile Sasa leo mtu umefanya maboresho una push GitHub imegoma
3 Reactions
8 Replies
145 Views
Neno artificial intellency linaleta tafsili tata haswa kwa wataalamu wetu wa lugha ya kiswahi na viongozi wa serikali maana wengine husema ni akili bandia na wengine husema akili mnemba. Sasa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ