Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani hata hii ni ya kukosa !!! Jipatie flexible keyboard nzuri imara Toka Laptops and accessories]] kwa bei simple Sana 𝗙𝗹𝗲𝘅𝗶𝗯𝗹𝗲 𝗸𝗲𝘆𝗯𝗼𝗮𝗿𝗱 Ni aina ya keyboard imetengenezwa kwa njia ya...
0 Reactions
9 Replies
818 Views
Habari wadau hope mpo poa Niende kwenye mada sisi wengine kuclaim mambo ni mwiko tunataka kujua programming very in deep Sasa km ww ni programmer hope umewah kutumia preprocessors like stdio.H...
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Hi kwa niaba ya mdau wangu Natarajia kuingia mjini kesho Mwenye Ups tajwa hapo juu msaada ili nisizunguke sana Uweso Kva 10 pc 2 Kva 20. 3:3phase pc 2 Kva 30 3:3 phase 1pc Hizi kabla ya...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Habari wakuu Nina mpango wa kununua moja kati ya izo brand za BRENDER Je ipi ni bora maana nataka heavy duty brender ya 3000w? Na je ni kweli zinauwezo wa kusaga nyama? Au ni story tu?! Karibu sna
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tanzania needs to introduce and implement ‘A Clean Atmosphere Act’ as an Anti-Geoengineering Bill.Such a legislation will enable the country to protect the health of its population, trees...
1 Reactions
2 Replies
600 Views
Habari zenu Sina hakika kama hili ni jukwaa sahihi kwa hii mada, lakini Naomba kuiwasilisha humu kwa mwenye kufahamu basi anifahamishe. Nimekuwa nikijihusisha na Blogging kwa miaka 4 sasa na...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Wadau wa jukwaa la Technology, msaada wenu inahitajika. Ninahitaji hiyo software, computer yangu ilileta shida ikanilazimu niweke window upya.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu. Jioni ya leo nimekuwa nikipokea simu kutoka kwa watu nisiowafahamu, wakidai kuwa wamepokea ujumbe kwa njia ya WhatsApp kutoka kwenye namba yangu unaozungumzia nafasi za kazi...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wakuu.. hii changamoto nawezaje kuitatua..? Status ya aina yoyote iwe video picha au maneno zinagoma kabisa kuwa uploaded.. nimejaribu kufuta na kudownload upya whatsapp shida iko pale pale...
2 Reactions
5 Replies
799 Views
WINDOWS 7 Inagoma kustart na siba utaalam Wa computer, msaada guyz.
0 Reactions
3 Replies
616 Views
Naomba ushauri wa simu ya Samsung ya kununua series ya note ipi nzuri na bei yake Chief-Mkwawa msaada wako Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
81 Replies
9K Views
Jamani, niko interested na DHIS2, najaribu kujifunza kupitia demonstrations kadhaa. Sasa naona kama inawezekana kuweka setup ya DHIS2 kwenye kompyuta yangu. Nimejaribu kuangalia tutorials...
0 Reactions
0 Replies
527 Views
The story at a glance As technocracy and transhumanism have risen to the fore, they have brought with them their own form of science — “scientism” — which is basically the religion of science. In...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtu yeyote mwenye iphone mfukoni muda sio mrefu mtafurahia sana huduma mpya ya iOS16 itaposhuka baadaye mwaka huu. Kupitia mikutano wanayofanya kila mwaka ya World wide developer conference...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Msaada kwa wataalamu katika taaluma ya tecnolojia mimi mwenzenu account ya Facebook imefungwa nikijaribu kufungua au kureset password inanielekezea kwenye email ambayo siyo yangu je nifanyaje
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Wadau, Kwanza niweke wazi, mimi si mtaalamu sana wa PC. PC yangu ni DELL VOSTRO yenye specifications hizi kwenye picha. Ila sasa, inachemka sana. Shida inaweza kuwa nini?
0 Reactions
3 Replies
771 Views
Umoja wa Ulaya (EU) umeridhia Kanuni zitakazolazimu simu zote zinazouzwa katika Umoja huo kuwa na 'Port' ya USB-C, uamuzi ambao ni pigo kubwa kwa Kampuni ya Apple yenye mfumo tofauti katika baadhi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi mtu akiku block WhatsApp utajuaje? Ni hivi nilikuwa na chat na demu for first time, niliiweka dp avatar ya Ushimen sasa now neno about silioni, sijajua kama ndio ameni block au la!
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Pata huduma hapa
1 Reactions
0 Replies
539 Views
Habarini wakuu mbalimbali nina changamoto ya simu yangu kujizima mala kwa mala baada ya kubadili kioo chake og.maana nilipata ajali kikaweka wino mwisho kikawa hakioneshi kabisaa. Tangia...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom