USHAURI wa kununua Samsung phone

USHAURI wa kununua Samsung phone

Nmeshaichoka hii A21s nahitaji kubadiri nmeitumia ndani miezi mitatu naona sjaipenda

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Angalia note 20 unaweza bahatisha nzuri ila imeisha maliza miaka miwili tangu kuachiwa kwake maana ikiisha pita miaka miwili samsung hawahusiki tena na warranty ya hiyo simu kama itapata tatizo kibongo bongo kwa heshima utapewa warranty ya miezi sita tu
 
Nmeshaichoka hii A21s nahitaji kubadiri nmeitumia ndani miezi mitatu naona sjaipenda

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
A21s ni lowend smartphone. Kuna utofauti mkubwa baina yake na Note 10.

Sema changamoto kubwa ni kuipata hio Note 10 plus, Maana Nyingi mtaani ni refurbished na zinaweza kukusumbua mbele ya safari.

Kama unaweza agizisishia online, kama unanunua hapa awe ni mtu unaemuamini.
 
Kabisa mkuu hii A21s nlijichanganya

Ngoja niagize nijarbu kuagiza nje

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Pia unaweza kupata S-series nzuri
Mfano S 10plus 5g From South Korea pia.
 
Chukua Note 10 plus From South Korea. Zipo very good na sio refubrished.
Sumbufu sana KOREA VERSION
upande wa software ukitumia OFFICIAL
sms maneno machache
deriver report hakuna
kutuma sms inasumbua
mtandao kama tigo unasumbua data
ikiwa 3G kutuma sms haitaki

ninazikubari kwa uimara na kupokea update kuanzia Display ngumu sana GORILLA ndo udiseme na simu yenyewe mashine jiwe haswa
 
Hizi ni minor things ukilinganisha na ubora na faida za simu kutoka huko.
Maana kama issue ya message unaweza tumia google message ukasolve tatizo la maneno machache na delivery report.
Kuhusu mtandao wa Tigo sijawahi kutana na hii shida so siwezi fahamu vizuri.
 
Back
Top Bottom