Hivi mtu akiku block WhatsApp utajuaje?

Hivi mtu akiku block WhatsApp utajuaje?

Hivi mtu akiku block WhatsApp utajuaje? Ni hivi nilikuwa na chat na demu for first time, niliiweka dp avatar ya Ushimen sasa now neno about silioni, sijajua kama ndio ameni block au la!
Ushakula block. Ukiacha ona profile yake, jua huhitajiki tayari
 
Hivi mtu akiku block WhatsApp utajuaje? Ni hivi nilikuwa na chat na demu for first time, niliiweka dp avatar ya Ushimen sasa now neno about silioni, sijajua kama ndio ameni block au la!
Umepigwa na kitu kizito[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ni kwamba unakua huioni profile picture na bio yake pia huioni

Uhakika zaidi chukua simu nyingine au Kama una account nyingine ya WhatsApp save hiyo namba uiangalie
 
Hutaiona Profile Picture Yake Naye Aliyeku~Block Haiona Yako
Wala Ile Last Seen!!
 
Back
Top Bottom