Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 753
- 659
Jamani, niko interested na DHIS2, najaribu kujifunza kupitia demonstrations kadhaa. Sasa naona kama inawezekana kuweka setup ya DHIS2 kwenye kompyuta yangu. Nimejaribu kuangalia tutorials nikashindwa. Je, nawezaje? Na je, kuna ulazima lazima niwe na website kuwa nayo?