Facebook yangu imefungwa nikijaribu kufungua au kureset password inanielekezea kwenye email ambayo siyo yangu

mwampepec

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
483
233
Msaada kwa wataalamu katika taaluma ya tecnolojia mimi mwenzenu account ya Facebook imefungwa nikijaribu kufungua au kureset password inanielekezea kwenye email ambayo siyo yangu je nifanyaje
 
Msaada kwa wataalamu katika taaluma ya tecnolojia mimi mwenzenu account ya Facebook imefungwa nikijaribu kufungua au kureset password inanielekezea kwenye email ambayo siyo yangu je nifanyaje

Imefungwa au password yako imebadilishwa na mtu?

Option ya kureset password uliweka ipi? Simu au e-mail?
 
Back
Top Bottom