Msaada nimefuta chatting zangu zote za whatsap

Siachi hela

Senior Member
Joined
Jun 17, 2022
Posts
136
Reaction score
249
Habari wakuu,

Naomba kusaidiwa imetokea nimefuta chatting zangu zotee za WhatsApp ambazo baadhi zilikuwa na umuhimu sana na nilikuwa nikizitumia kama kumbukumbu incase zikihitajika mfano, documents mbalimbali nilizokuwa natuma na kutumiwa zote zimepoteza.

Tayari nimejaribu ku unstore na kuinstall upya ila hakuna kilichorudi. Msaada tafadhali naweza fanya kipi zaidi nirejeshe chatting zangu.
 
Kama una account ya GMAIL nenda kwenye whatsaap utafute mahali kwenye kumeandikwa CHAT BACKUP
 
Habari wakuu,

Naomba kusaidiwa imetokea nimefuta chatting zangu zotee za WhatsApp ambazo baadhi zilikuwa na umuhimu sana na nilikuwa nikizitumia kama kumbukumbu incase zikihitajika mfano, documents mbalimbali nilizokuwa natuma na kutumiwa zote zimepoteza.

Tayari nimejaribu ku unstore na kuinstall upya ila hakuna kilichorudi. Msaada tafadhali naweza fanya kipi zaidi nirejeshe chatting zangu.
Hukuset WhatsApp kua ina backup data zako kwenye Google Drive kulingana na schedule yako uitakayo... Ungeset ivo wala usingepata shida....

Tukiwaambia mtumie Telegram hamtaki, huko unatunza vitu vyako hata chats zitakaa hata ukibadili simu mara 1000 ukilogin utakuta huitaji kubackup wala restore...
 
Back
Top Bottom