CA14 Mnyamili
Member
- Sep 11, 2022
- 5
- 5
Jamani Mimi sielewi kwanini tuna wekewa huduma ya 5G wakati hata hatujafikia asilimia 90 ya watanzania wanao miliki simu TANASHATI (smartphone).
Pia wengi hatujui madhara ya RADIO FREQUENCY katika afya zetu.
MUNAOJUA MASWALA ya RADIOLOGY jitokezeni mnipe ukweli juu ya swala hili
Pia wengi hatujui madhara ya RADIO FREQUENCY katika afya zetu.
MUNAOJUA MASWALA ya RADIOLOGY jitokezeni mnipe ukweli juu ya swala hili