Habari wana teknolojia. Naomba mwongozo hapa na hints za kufanikisha kuweka matangazo kwenye application
App yangu ni hybrid( ni web view mobile application) mpaka sasa ina namba of downloads 300+, trafic yake kwenye web kwa siku 20 ni 2.2k,
Naomba muongozo au hints zuri za kuweza kukubaliwa kuweka matangazo kwenye app na namna bora ya kufanya ili kupata majibu mazuri