Infinix smart 6 haikubali kupandisha 4G network

nyamwingi

JF-Expert Member
Mar 10, 2016
933
863
Habari wakuu,

Nimenunua Infinix smart 6 ya 2/64GB pamoja na kujaribu kufanya settings ili ikae 4G Haikubali ,sijajua nifanyeje ingawaje ndani ya Simu inaonekana inayo 4g kubwa zaidi laini zangu zote tigo na halotel ni 4G na hata Simu iliyopita zilikuwa zinashika 4G.

Mwenye uwelewa msaada Tafadhali.
 
Boss uza hiyo simu kuna baadhi ya simu zinatengenezwa kwa ajili ya soko la nchi fulani tu. sasa lakini kuna wajanja wanachukua na kuuza nchi nyingine ambapo sio target ya soko

mfano DOCOMO na AQUOS kwahiyo huduma ya 4G utaipata ukiwa ndani ya Japan tu
 
Aisee nimekuelewa
 
Nenda kwa aliyekuuzia inawezekana hiyo simu ni ya 3G siyo 4G
 
Nimecheki Gsmarena kuna model ina band hizi
1, 3, 5, 8, 38, 40, 41

-Tigo wana band za 4g bamd 20 (800) na band 3 (1800) lakini hio band 3 inapatikana katikati ya jiji tu.

-Halotel ni band 7 (2600)

Hivyo kama hauishi katikati ya jiji huwezi pata 4g kwenye hio mitandao.

TTCL, Vodacom na Airtel wanatumia band 3 (1800) mtandao wowote kati ya hii utashika 4g.

Boss uza hiyo simu kuna baadhi ya simu zinatengenezwa kwa ajili ya soko la nchi fulani tu. sasa lakini kuna wajanja wanachukua na kuuza nchi nyingine ambapo sio target ya soko

mfano DOCOMO na AQUOS kwahiyo huduma ya 4G utaipata ukiwa ndani ya Japan tu
Niliteseka sana asee kwenye swala la network.kidogo niipige chini
 
Nimecheki Gsmarena kuna model ina band hizi
1, 3, 5, 8, 38, 40, 41

-Tigo wana band za 4g bamd 20 (800) na band 3 (1800) lakini hio band 3 inapatikana katikati ya jiji tu.

-Halotel ni band 7 (2600)

Hivyo kama hauishi katikati ya jiji huwezi pata 4g kwenye hio mitandao.

TTCL, Vodacom na Airtel wanatumia band 3 (1800) mtandao wowote kati ya hii utashika 4g.

Ni kweli Jana nimeingia katikati ya mji imeshika 4g safi.
 
Uza hyo simu haraka Sana , kanunue simu Kati ya kampuni hzi Redmi , Samsung , iPhone , Oppo au Vivo
Naongezea OnePlus, Google Pixels, Lenovo, Pocco (nduguye xiaomi), Sony, LG... Achane na hizo simu tecno, itel na infinix!
 
Habari wakuu,

Nimenunua Infinix smart 6 ya 2/64GB pamoja na kujaribu kufanya settings ili ikae 4G Haikubali ,sijajua nifanyeje ingawaje ndani ya Simu inaonekana inayo 4g kubwa zaidi laini zangu zote tigo na halotel ni 4G na hata Simu iliyopita zilikuwa zinashika 4G.

Mwenye uwelewa msaada Tafadhali.
Hizo ni simu za wamburu na wairaqwi
 
Ram 2 afu storage 64GB,iyo ram inachakataje mzigo wa gb 60. Kiufupi hiyo siyo simu
 
Back
Top Bottom