Kati ya Programmer na I.T

Nitakujibu kwa maneno machache maana umeniita.

Binafsi nilizunguka mjini sana nikiwa muda mwingi nimefulia kipindi nafanya kazi general za IT kama vile computer and printer repairs, networking n.k.

Lakini baadaye nikaamua kukomaa na programming. Yaani sijajutia kwangu mimi kuwa coder. Inalipa na pia ina watu wachache maana wengi huanza kwa mihemko halafu wanaishia njiani. Lazima uwe na moyo wa chui, nguvu za simba na mvumilivu kama nyoka ili ufaulu kwenye taasisi ya programming.

Kubali kuwa chizi mwenye uwezo wa kufanya coding week yote huku unalala masaa machache sana.

Ukiwa na passion ya kihivyo utakua bingwa na kazi zitakufuata, wateja watakufuata, hutotaka kuajiriwa na mtu.
 
Sasa kwa mtu ambaye anataka kuanza, unamshauri aanze kwenye IT kwa ujumla alafu baadae ndio aje kubobea kwenye kitengo cha program, au aanze kujilipua na Program moja kwa moja??
 
Programming ni skill muhimu kwa mtu yeyote anayesoma IT au computer/science/engineering japo kuna programmers wachache sana kwa sababu sio rahisi n inahitaji dedication sana....
Kutokana na uhaba wa programmer, inawezekana pia kukawa na fursa nyingi za kuajiriwa
 
Sasa kwa mtu ambaye anataka kuanza, unamshauri aanze kwenye IT kwa ujumla alafu baadae ndio aje kubobea kwenye kitengo cha program, au aanze kujilipua na Program moja kwa moja??

Yeah huwa nashauri bora upate darasa kamili ya IT kwa ujumla halafu ndio baadaye uchague fani moja ya kukomaa nayo kama vile programming.
Mimi hapa nilifuata CCNA, A+, N+ nakadhalika kabla nije kutulia kwa coding, na hakika ujuzi wangu wa IT in general umenifaidi sana kwenye masuala ya programming. Kuna mambo yanakuibukia na kama hukua umejiandaa vizuri kwenye hayo ya IT general, unapgwa chini. Hususa kama umekumbana na network programming.
 
Aisee shukrani kwa mchango wako,
Sasa turudi kwenye maslahi na tenda za programming,
Unaweza ukashea na sisi angalau zile dili kubwa kubwa na fursa ulizowahi kukumbana nazo au anazoweza kukumbana nazo programmer,
 
Njia moja rahisi ya kukumbana na deals kubwa hapa Afrika, ikiwemo kwetu Kenya na pia hata Bongo ni kama ukifanya kazi on sub-contractual basis. Ni vigumu kwa programmer akiwa mwenyewe kupata deals kubwa hususan za kiserakali maana lobbying ya manyang'au huwa kali sana na deals hazipokezwi kwa kufuata sifa.

Kawaida mimi huachia makampuni yashindane kupata deal halafu wenyewe wananijia nifanye implementation kwa kunipa kandarasi ya sub contract. Unawacha wanaandika winning proposal kwa tender, wanafanya lobbying balaa maana serikali na makampuni makubwa wanataka kuona proposals za kiajabu ajabu zenye kuonyesha watendaji wa kampuni wenye masters degrees na mambo makubwa ambayo hata hayahusiani na mradi wenyewe.

Sasa kampuni ikishinda, wanasaka programmer ambaye ataongoza implementation na shughuli inafanyika. Humu siwezi kutaja baadhi ya miradi ambayo nimetekeleza, lakini kwa kifupi nimehusika katika very top projects za kiserikali na mashirika binafsi.
Usiku huu wa leo hapa nafanya coding ya system ambapo nipo hotelini, nimekuja na wafanyi kazi 20 wa wizara fulani ambapo nipo nawapa darasa ya system fulani ambayo nimewatengenezea. Tutaishi hotelini humu siku 30 kila siku tunapitia system nikiifanyia maboresho kulingana na mapendekezo yao. Ni system nimeitengeneza ndani ya miezi sita.

So kwa kifupi, nawashauri madogo ambao wanataka kuingia kwa fani hii, wajifunze IT in general ndani na nje, halafu kisha wakomae na programming. Kazi zitawafuata tu... zipo, programmers ni wachache kwenye nchi zetu hizi. Tatizo wengi wanataka shortcuts, anajifunza programming language kwa mihemko na kujiita programmer.

Programming is a lifestyle, it's a way of life...ukianza inabidi ubadilishe maisha yako kabisa, unakua boring kwa marafiki maana huna muda wa kwenda kucheza cheza pool table kitaa.
 
Shukrani sana mkuu, Umetoa mchango mzuri sana.
Labda swali lingine Utujuze kama kazi zote unazopewa wanauliza cheti chako cha programming?, au wanaridhishwa na CV zako tu labda za kazi zilizopita?
 
Sikumbuki siku niliwahi kuagizwa cheti. Mara nyingi huwa reference tu, unakuta mteja kampa mtu namba yangu.
Yaani ukihakikisha umepokeza kazi ipasavyo watakufuata tu. Huwa hata sina muda wa ku-update CV yangu.
 
Habari,
Aisee niende kwenye swali,
Ivi kati ya Programmer na IT yupi mwenye fursa nyingi za kujiajiri na kuajiriwa, na endapo wataajiriwa yupi ambae atapokea kiasi kikubwa cha mshahara kupita mwenzake???
cc. Chief-Mkwawa mchambawima1 MK254 snipa Isac M Barbarosa Na wengineo
Mkuu Programming ni moja ya vijimambo! na vile vile yaweza kufanywa na mtu wa IT, EE au wengineo katika masuala tofauti, lakini katika maswala yanayo nihusu ambayo ni EE ntakuambia kwamba kusudi uweze kufanikiwa basi lazima programming uizingatie tena sana kwa sababu ukiangalia zamani wataalamu walikuwa wakitumia Fuses na Relays kibao kufanikisha jambo ambalo hata kama tatizo likitokea inakuwa ngumu kurekebisha, gharama ya juu, kwa kifupi yani hardware ndefu hadi unachanganyikiwa! na hayo mambo bado tuko nayo sana nchi ambazo ziko kwenye njia ya maendeleo na hii nafikiri inatokana na uhaba wa wataalamu wa maswala haya, leo hii hayo matatizo yamepunguzwa na PLCs tatizo ni kwamba sio kitu ambacho unanunua dukani na kukichomeka alafu kifanye kazi unayotaka! inahitaji coding na hapo ndio umuhimu wa programming unapohitajika lasivyo utaishia kuconnect miwaya uchukuwe 30% alafu aje mjanja mwingine afanye coding tu achukue 70% iliyobakia, unaona? NB kizuri cha hizi kazi ni kukomaa ujiajili lasivyo hautaona matunda yake!
 
Alafu naskia wanasema kujifunzia mtaani kwa mtu mwenye ujuzi ni bora zaidi kuliko vyuoni, hii kuna ukweli wowote?
 
Back
Top Bottom