Habari wakuu,
Natafuta kifaa tajwa hapo juu, nimejaribu kuulizia baadhi ya maduka wanyouza vifaa vya kielektroniki hapa posta sijafanikiwa. je kuna mtu anaweza nielekeza mahali ninapoweza kupata?
Habari. Hawa mabwana wanajiita Samsung discount wapo china plaza bei zao ziko chini sana ukilinganisha na maduka mengi yanayo uza simu za kufanana na hizo mpaka nimeshawishi nataka nikachukue Note...
Katika ulimwengu wetu wa leo matumizi ya Intanet yamekuwa ni miongoni mwa hitaji la msingi kwa kila mtu.
Katika mazingira mbalimbali tumejikuta tukiwa katika maeneo ya umma ambapo kuna wifi za...
Habari ,nimeshawishika kutaka kununua simu used from abroad ambazo zinauzwa na kunadiwa mitandaoni, hii ni kutokana na kigezo kimoja tu cha bei, kwani nyingi ni za viwango na ni za matoleo ya hivi...
Kampuni mama ya Facebook imetangaza uamuzi huo leo kwa maelezo kuwa inalazimika kuondoa 13% ya wafanyakazi wake ili kubana matumizi.
Mkurugenzi Mtendaji Mark Zuckerberg amesema katika robo ya 3...
Wakuu, msaada kwenye tuta. Hapo mwanzo hii game Euro truck simulator 2 nilikuwa naicheza vizuri kabisa kwenye hii laptop yangu ya Lenovo T420 Core i5. Nimeicheza kwa miezi kadhaa hadi now.
Sasa...
Habarini.
Ha tunnel plus imekua ikinisumbua muda mwingi inahitaji nitazame matangazo yao ndio niweze kutumia.
Je kuna njia nyingine ya kuondoa kua add time kila Mara?
Habari zenu wakuu,
Natumai mko poa nyote.
Poleni sana na majukumu ya kila siku.
Simu yangu Samsung S8 Plus.
Iko locked na Au ya Japanese.
Kila laini nayoweka inaniambia Invalid sim card Locked...
Sometimes Bhana naona watu wengi aki code style website yake kidogo tu anaanza ku inspect elements aangalie jinsi gani iyo style inaonekana kwenye mobile.
Hii trick pia inakupa access ya kutumia...
Habari wana jamvi la JF Tech, kama title inavoeleza. Simu angu kuna baadhi ya Apps hazifunguki inanipa maelezo kama yalivyo kwa TITTLE hapo juu. Naombeni msaada shida ni nini hapa!
Chombo cha kupeleka mizigo katika anga za juu cha China cha Tianzhou - 4 kimerejea angani. Vipande vingi vya chombo hicho viliteketea wakati wa mchakato huo, huku vipande vichache vikianguka...
Habari Wakuu!
Ndugu yangu kanunua hii simu ila ukiweka simcard inasoma jina la mtandao ila bars za network zipo empty. Nimejaribu katika Network options kushusha kutoka 5G to 4G to 3G to 2G ila...
Amani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana.
Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T
Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button...
Wakubwa mnajisikiaje na hali🤚🤚, ni hivi ulishawahi kufanya kazi sehemu kama programmer halafu ukakuta wasimamizi wako au pengine wadau wakawa hawajui vizuri kuhusu programming? mimi hiyo...