WhatsApp kuongeza Emoji mpya 21 kwa watumiaji wa Android

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,123
Screenshot 2023-01-07 at 08-10-13 WhatsApp beta for Android 2.22.25.12 what's new WABetaInfo.png

Toleo jipya la WhatsApp (toleo la 2.23.1.23) katika mfumo wa majaribio (Beta); inaonekana app ya WhatsApp
itaongeza emoji mpya kwa watumiaji wa Android.

WhatsApp imeanza kuongeza emoji 21 katika mfumo wa majaribio. Pia kuna emoji 8 zitakuwa na mabadiliko katika mwonekano - mabadiliko yake yataelekea kufanana na emoji za iPhone.

Emoji mpya ambazo zitaongezeka kwa watumiaji wa Android: ni emoji za tangawizi, kopa la pink, bata, mabawa, njegere, chanua, Wi-Fi, filimbi n.k. Emoji hizi bado hazipo kwa watumiaji wa iPhone.

Kwa sasa WhatsApp imeweka katika mfumo wake wa majaribio hivyo wiki chache zijazo tutegemee mabadiliko haya yataanza kwa watumiaji wote wa Android.

SwahiliTek
 
Back
Top Bottom