Kuna huyu virus anajulikana kama Z-connect mwenye ujuzi namna ya kuzuia atumwagie nasikia akiingia kwenye computer dawa ni kuformat is any other way to do.
Thanks in advance for anyone comes up...
The Human-Hybrid-Motorcycle
When inventor Stefan Gulas rides his eROCKIT around Berlin, he still turns lots of heads. Is it a motorcycle, a weird scooter, a souped-up bike? People don't...
Hard disk is one of the most important components of your PC and losing your data on it can be a nightmare. Apart from having backup copies, this tutorial will guide you on how you can improve the...
Wataalam wa IT,
Nime-install Internet Explorer 8 kwenye computer yangu ikavuruga Adobe Flash Player. Kuna baadhi ya vitu siwezi kufanya bila ya kuwa na Adobe Flash Player 10.
Kila nikijaribu...
ZHEEL SCIENCES studies the Human Excellence and Physical / Meta Physical Powers. ZHEEL SCIENCES guides us the right use of Human Mind Powers and Physical Skills. Learn Mind Sciences with Master...
http://www.cctv.com/program/worldwidewatch/20090709/101274.shtml
Wenye Data zaidi tumwagieni jamani. Maana kama ni kweli,itakuwa kaaaazi kwelikweli!!!Maana tunaweza kuja kupata watu wenye majina...
Wakuu salaam zenu.
I am looking for a civil designer (genuine not pirated) for purchases full as shown bellow
Desngner centre upgrade to v6.5
New survey terrain module v6.5
Road upgrade to v6.5...
Google wametangaza kuja na Operating System yao.
Google Chrome OS is an open source, lightweight operating system that will initially be targeted at netbooks. Later this year we will open-source...
Hello Wakubwa,
Kwa mara ya pili jengo la Inter (Interhouse) lililoko mkabala na Millennium towers, limeanza kudondosha rangi. Tulitegemea "consultants" kama hawa ndio watushauri kwa masuala yote...
hi everyone here in JF!
jamani hivi ukitaka kujua password ya eail iliyokuja kwenye inbox yako unafanyaje?
mwenye kujua jamani ani-PM, coz najua sio vyema kuanikwa hadharani, mi ninauliza kwakua...
Marekani pamoja na mabavu yake yote inayoionyesha kwa nchi mbali mbali
duniani haswa ambazo hazipendi maslahi yake , iliamua kutangaza wazi
nia yake ya kufanya mitandao yao ya mawasiliano kuwa...
Hi guys i'm in need for webcams like 10 -> 15 webcams, were can i get the cheapest webcams ? and for how much?
*** i'm working on a project that i would be inneed of those webcams sooner or later...
Tuseme ninahitaji kudownload file ya 8GB, kuna sehemu wanaprovide service kama hii? Au kuna mtu anajua njia nzuri/nafuu ya kufanya kitu kama hiki?
Maana kwa mitandao ya nyumbani ya pay as you go...
Mfano ninatumia ttcl broadband kwenye internet cafe ambayo cku hizi kuna ile quota ya gb 20 ambayo ni lakinne. Nataka kuweka privoxy proxy server nimeona ipo poa. sasa nataka kujua kama ipo stable...
The latest version todate is 3.0.10 which was released yesterday.
Keeping you updated!
To download, follow the following links:
Download Firefox - Free
3.0.10
for Windows English (US) (7.1MB)
What is GNS3 ?
GNS3 is a graphical network simulator that allows simulation of complex networks.
To allow complete simulations, GNS3 is strongly linked with :
Dynamips, the core program...
Mara nyingi najikuta nikiumiza mbavu katika site hii: The Daily WTF: Curious Perversions in Information Technology , lakini hii nikaona niwashirikishe wakuu:
The Program Accelerator - The Daily...
Wapendwa naomba msaada wenu,nina simu aina ya Blackberry storm imefungwa,nimepeleka kwa watalamu wa kufungua wanadai kuwa Havana utaalamu wa kufungua BB aina ya storm.Kama kuna yeyote anajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.