Jengo la TCRA ubungo aibu usiku

Mutensa

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
421
90
Jana nimepita barabara ya Sam Nojuma, barabara ambayo inapendeza sana kuliko zote dar usiku jinsi ilivyopambwa na mataa yake na mandhari ya mlimani city. Lakini cha kusikitisha, lile jengo ambalo tulitegemea lizazidi kuipendezesha la TCRA, kwa kweli usiku linatia aibu. Kila kioo kinaonesha rangi yake tofauti vingine kama vichafu vile.... wala utofauti wa rangi hauko katika mpangilio wa kuvutia kusema kuwa labda walidhamiria kutengenesza pattern fulani. .... Nawashauri TCRA waaangalie uwezekano wa kuvibadilisha vioo na kumwajibisha Contractor/Supplier/Consultant.
 
TOO LATE NA UJUE HIYO NI KUTOKANA NA REFLECTION TU YA MWANGA NA SI UCHAFU WALA VIOO VIBAYA. Mawasiliano House ni jengo poa
 
Wameshakula hiyo hela, hata ungewashikia mtutu wa bunduki hawabadilishi. kwa kweli mie sikupenda ile format yao kama ndivyo walipenda.
 
Nami nimeliona jana ni poa kiasi...litasaidia hata kupangisha wadau wengine
 
Ndugu na wewe sikuhizi umekuwa mkandarasi , unajua mkataba wa ujenzi wa jengo hilo walikubaliana nini ? Au unaongea tu tusitumie jf vibaya jamani kama huna maarifa kuhusu eneo fulani uliza usikurupuke
 
mi huwa napita pale daily kumpeeka mtoto shule ya jirani ,jengo bado linajengwa na ndo wanafanya finishing sasa mambo ya jengo linatia aibu yanatoka wapi?jamani tuwe tunatafakari kabla ya kuweka post hapa JF
 
Jana nimepita barabara ya Sam Nojuma, barabara ambayo inapendeza sana kuliko zote dar usiku jinsi ilivyopambwa na mataa yake na mandhari ya mlimani city. Lakini cha kusikitisha, lile jengo ambalo tulitegemea lizazidi kuipendezesha la TCRA, kwa kweli usiku linatia aibu. Kila kioo kinaonesha rangi yake tofauti vingine kama vichafu vile.... wala utofauti wa rangi hauko katika mpangilio wa kuvutia kusema kuwa labda walidhamiria kutengenesza pattern fulani. .... Nawashauri TCRA waaangalie uwezekano wa kuvibadilisha vioo na kumwajibisha Contractor/Supplier/Consultant.
haya naona umetoa na hukumu kabisa, kwa hiyo una uhakika kuna tatizo?
 
mi huwa napita pale daily kumpeeka mtoto shule ya jirani ,jengo bado linajengwa na ndo wanafanya finishing sasa mambo ya jengo linatia aibu yanatoka wapi?jamani tuwe tunatafakari kabla ya kuweka post hapa JF
kwa kweli
 
Ha ha ha!!! Wamejenga Wachina!!! Wanaogoza kwa 10% and beyond at your expense!!! Na hata wakikosea huwezi fungua mdomo maana atakuambia uchagie marekebisho maana mlikula wote!!!!
 
Mkuu hii nimeipenda, mbavu sina
 
Hata mimi sidhani kama jengo hilo linatia aubu isipokuwa tayari baadhi yetu tumeshakuwa na Fikra za kuwa tunaibiwandio ndio maana tunakuwa "sensitive" sana siku hizi.
 
Halafu sidhani kama taa zote zimeshawashwa. nafikiri bado kuna ujenzi unaendelea usiku na mchana kwahiyo zile ni taa za wahandisi wakiwemo kwenye mjengo usiku
 
Ndugu na wewe sikuhizi umekuwa mkandarasi , unajua mkataba wa ujenzi wa jengo hilo walikubaliana nini ? Au unaongea tu tusitumie jf vibaya jamani kama huna maarifa kuhusu eneo fulani uliza usikurupuke
Nani kamuelewa huyu kaandika vinini?
 
Back
Top Bottom