Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,211
- 113,520
Wapi ninaweza ku download anti virus software ya bure? Sitaki AVG...hiyo tayari ninayo free version yao. Natafuta kama kuna nyingine. Natanguliza shukurani.
wewe vya bure vina gharama,kama running cost za hiyo computer zimekufikia shingoni,why dont you do away with it!!!!!
Obeja sanaObeja nkwingwa!
1. Cheki Windows live care...one ina trial ya 90 days....hapo utakuwa umekandamiza vya kutosha.
2. Au cheki Norton antivirus 360 ina trial ya 30 days iko makini ...
Halafu baada ya 90 / 30 days?
Wapi ninaweza ku download anti virus software ya bure? Sitaki AVG...hiyo tayari ninayo free version yao. Natafuta kama kuna nyingine. Natanguliza shukurani.
Wapi ninaweza ku download anti virus software ya bure? Sitaki AVG...hiyo tayari ninayo free version yao. Natafuta kama kuna nyingine. Natanguliza shukurani.
Wapi ninaweza ku download anti virus software ya bure? Sitaki AVG...hiyo tayari ninayo free version yao. Natafuta kama kuna nyingine. Natanguliza shukurani.
Inategemea na version gani ya avg kama una version kuanzia 8.5 na umefanya updates vizuri haina shida huwa unatoa hizo virus ulizotaja hapo juu
Halafu baada ya 90 / 30 days?