Wanaotumia BOL

khalids19

Senior Member
Jul 27, 2009
156
10
Nataka niulize swali dogo tu wakuu!!
Ninachojua ni kwamba CTV wameshaunga ile internet cable ya seacom Ya chini ya maji sasa CTV iko fasta kichizi!!! uki watch video youtube ya 1 hour 30 min it doesnt stop it continuosly plays!! its really highspeeed!!
Sasa nauliza kuna uwezekano wowote wa BOL ya dar es Salaam (Bensons Online) kuweka hizo,Ili speed iongezeke??
 
Habari njema hii!!
Je Limit ikoje? maana hiyo 1.5 Hour video unaweza ndo ukawa umeua limit yote!
 
BOL washaniambia kwamba at the end of this month wanaeka hiyo .Bol ni unlimited bandwith so ata ukiangalia video ya ukubwa gani!! it doesnt matter finally the real broadband has come to tanzania
 
Back
Top Bottom