Mara nyingi najikuta nikiumiza mbavu katika site hii: The Daily WTF: Curious Perversions in Information Technology , lakini hii nikaona niwashirikishe wakuu:
The Program Accelerator - The Daily...
Wapendwa naomba msaada wenu,nina simu aina ya Blackberry storm imefungwa,nimepeleka kwa watalamu wa kufungua wanadai kuwa Havana utaalamu wa kufungua BB aina ya storm.Kama kuna yeyote anajua...
by Charles Onyango Obbo
Two other events might, in the months to come influence public attitudes in Uganda as, indeed, the rest of Africa. One, was the surprisingly well-organised...
Habari zenu wadau!!
Naomba kama kuna mweye kujua kuhusu utaratibu wa hawa jamaa wa Zain,Zantel au Vodacom. Nina USB Moderm,ni Huawei E220.Nataka kumtumia mtu aliye Bongo.Sasa nilikuwa nauliza kwa...
Delete-Checker.NET - "Find out who's Blocked or Deleted you on MSN!"
Hey!,
I am inviting you to check out Delete-Checker, it let's you check if anyone has blocked or deleted you from there...
Naona Dovetel imekuwa Sasatel, mabango yao ya mjini yamewekwa kamili sasa.
Website yao ni Welcome to Sasatel Nenda products >select Need... ndo kuna bei.
Data:
3GB/Month 120,000/= na 60,000/=...
Here's how Web Design Services can set or change the font used for your site. To set the fonts for your entire document using cascading style sheets ("CSS"), use the font-family property on the...
Umeshasikia kuhusu toleo jipya la Windows lijulikanalo kama Windows 7 Si ndio ambayo iko katika majaribio sasa hivi
ANGALIA ATTACHMENT KWA MAELEZO ZAIDI
Kwa JF Members ambao wanafanya kazi kama service design engineers in the construction industry,naomba msaada wa material to read and drawing representantion of AC, lift and plumbing design. This...
wajameniee, ninayo laptop yangu, nafanyia kazi kila siku, lakini chaajabu karibia wiki moja, key zake haziklick, hivyo nashindwa kuandika. hivi nifanye nini ili key za keyboard ya laptop ifanye...
Hi guys, has it ever got to you that you get connection refused when trying to access irc.jambotanzania.net? I'm kinda stuck outside by this error!!!!
* Connecting to irc.jambotanzania.net (6667)...
I remember it as if it was Yesterday.
It was mid april, well past midnight i was paged simultaneously from some of the Isp's home.
Then called.
-BrainPower, We have intelligence officers and...
Habari wakuu? Ni software ipi ambayo ni free na bora inayoweza kutumika kwenye PC ku-hack line ya simu (SIM card) kwa kutumia smart card reader?
Natanguliza shukrani.
Bila kujua, bwana mdogo alisajili line yake ya Tigo kupata huduma ya Utabiri kutoka 15501. Alichokuwa hafahamu ni kuwa meseji hizo zinapoingia kwenye simu yako zinakula pesa kiasi cha shilingi...
SALAMU ZA TAHADHARI
Ndugu Watanzania
Wiki iliyopita kulikuwa na Taarifa moja kubwa lakini haikupewa mkazo sana navyombo vingi vya kimataifa , inayohusu baadhi ya kampuni za mtandao katika...
Some of these books are probably offline but what the hell...
1
10 minute guide to lotus notes mail 4.5
parsian.net
2
10 minute guide to Microsoft exchange 5.0
parsian.net
3
10 minute guide to...
Jamani ni mimi tuu au ? Hata niki refresh mara ngapi.
Inaelekea connection to the MySQL Database has failed. Somebody is having a bad day today ...:mad:
Hivi karibuni niliingia kwenye Internet café moja na katika kuchukua vitu vichache, nilijikuta pen drive yangu imeingiliwa na virus kwani niliona dhahiri mafaili ambayo mimi binafsi sikuyacreate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.