Thanks kwa maelezo japo bado sijafanikiwa, nimeamua kudownload Internet explorer 9 beta nikidhani tatizo litaisha lakini bado. Nikitaka kusaini in kwenye chat ya Global Communication network (GCN) ndiyo napata ujumebe huu GCN has detected that you do not have the high encryption installed. Because GCN uses a high encryption pack to secure your online communication, this file is required. So if can help me once again to go about, link uliyonipa nikienda sioni wapi nidownload. Thanks in advance