mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,041
- 256
jamani laptop yangu ni toshiba, niliiformat, wakati naiformat sikuidelete os liyokuwepos sasa kuna os mbili, nahitaji kuiondoa os iliyokuwepo na nataka ibaki moja tu, sasa nifanyeje ili itoke bila kuiformat upya. naomba msaada tafadhali,