Video za GNS toka AfroIT

Graphical Network Simulator,Hiyo ndo maana ya GNS.
naona hapo ni sehemu ya Pili ile ya kwanza iko wapi?
 
Ukienda Video utaona video hiyo na nyingine. Pia unaweza kutumia categories zilizopo kutafuta video unayoitaka.Ingawa bado sio nyingi ila muda utatell.
 
Back
Top Bottom