WanaJF, leo ni siku ya tatu siwenzi kui-launch Internet Explorer. Hivi sasa natumia Opera. Je kuna wengine wenye tatizo kama langu? Nifanyeje ili niweze kui-launch?
Nawasilisha
Wakuu nime install Eset smart security 4 kwenye pc yangu na ninataka kui update online
lakini inahitaji username and password.Any help pleaseeeeeeeeeeee. HESHIMA MBELE.
Samir Makwana, Dec 03, 2010
Features built-in PDF Reader, Chrome Web Store Support and over 800 bug fixes
Google has announced the release of a stable build of Chrome 8 web browser. Apart...
WAKUUU.POLENI KWA MAJUKUMU YA KILA SIKU.
COMPUTER YANGU INANIANDIKIA UJUMBE HUU "you may be a victim of counterfeiting.This copy of windows doesnt pass genuine windows validation".
Je nifanyeje...
There are many legitimate programs on your computer that are the cause for high CPU usage. However, there are also illegitimate programs such as spyware and viruses that can bog your CPU down...
There are many reason why you need to know how to block a website. Some of the most common reasons are you have been targeted by spammers who use adware and popups to attack your PC. Other...
Habari wakuu,
Nina Iphone 3g ambayo sijui namna ya kupata setting zake za internet kwa mtandao wa airtel (zain) kwa yeyote mwenye kujua naomba msaada wa maelekezo tafadhali.
Nimependa habari kutoka TCRA kuwa wana mpango wa kuhakikisha vyombo tajwa vinatumia ama mnara mmoja katka baadhi ya maeneo.
hii itapunguza gharama za kuhudumia minara hiyo na utitiri wa minara...
wataalam
napenda kujua kAm kuna mwenye detailed knowlnge ya Denial of service attack.
Nimekuwwa nafutial website ya wiki leaks na naona wanalamika kuwa website yao imekuwa attacked kwa...
Wadau,
Nimenunua multimedia player moja hivi Woxter i-Cube 2400, 1TB. Hata bado kuitumia ishaanza maringo. Siwezi ku-access (au haipo? lakini physically ipo) HDD, hata niki-connect kwenye...
WASHINGTON (Reuters)
A strange, salty lake in California has yielded an equally strange bacterium that thrives on arsenic and redefines life as we know it, researchers reported on...
Kuna machine najaribu kudesign nachanganya engine ya generator na inverter kupata umeme rahisi. una Idea yoyote ambayo itanisaidia?mwenye idea ya 500w, 1000, to 3000w alete hapa. Nipo Nachingwea
By David Mugwe (Bdafrica.com)
The Kenya ICT Board has lined up a $120 (about Sh10,000) laptop grant for 15,500 university students in a plan meant to raise Internet access and computer usage...
The hybrid helicopter car: U.S. military to develop futuristic vehicle destined for Afghanistan
It is the latest weapon to defeat the Taliban - a James Bond-style armoured car that can fly...