Huwa natumia dcpromo command kutengeneza domain in a new forest, lakini nikijaribu option za kutengeneza child domain au domain tree, napata error message inayosema "active directory domain...
leo ni siku ya Pili, kila ninapofungua Email yangu na kuingia, nikianza kusoma tu mail mpya hata za zamani, ghafla inajifunga na kunipa ujumbe huu;
Sorry your session has expired,
Sign in Again...
Wana-JF kuna external hard drive imeingiwa na virus, so folder zote zimeliwa but nikiweka kwny pc yenye ubuntu folder naziona na contents zake zote, ninapojaribu kurudisha kwny laptop yenye window...
Post/comment tatu bora kwa kwenye ili jukwaa ni zipi
Una ushauri kwa member yeyote kuhusu michango yake kwenye jukwaa hili.
Mzizimkavu: punguza copy and paste.
kilongwe: Hongera kwa kazi...
Wakuu
Mie najiuliza sana hivi taratibu za kuanzisha redio ambayo siyo ya kijamii nchini Tanzania zikoje.
Kwani najisikia kuwa na mpango huo lakini sijui A wala B.Suala la vifaa na mtaji siyo...
Jamani nawaombeni msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia jinsi ya ku connect Internet katika Nokia N8.
Nimewapigia Airtel na Zantel wote wanasema hawana settings za hiyo simu. Zantel...
Wana IT naomba mnisaidie nifanyeje email yangu imeingiliwa na watu na wanatuma email kuwa nimepata ajali wanitumie fedha kwenye e-mail zilizo kwenye inbox yangu.na siwezi ku access tena maana na...
After my window Xp machine being attached by malware and virus.I decided to install Ubuntu on my machine,I have read that malware developers specifically target Windows operating systems and...
Malicious coders and all-out cybercrooks will target newer and hipper forms of digital communication in 2011, according to a report released Wednesday by McAfee, the computer security company...
Wakubwa,kwa wale wanaotafuta material kadha wa kadha,munaweza tembeleaAfroIT E Learning Page kwa ajili ya vitabu mbalimbali ambapo una uwezo wa kusoma online.Tunajitahidi kuhakikisha tunaweka...
what was the real difference between 3G and 4G. there is a lot of jargon and, as of december 6th, the formal definition is a moving target but there are two potential answers, one focused on...
Removable flash memory sticks are pretty much one of the most handy little pieces of technology to come along in the last couple of years. They come in various shapes and their storage size can...
Wakubwa naomba ushauri,inakuwaje post zangu zote nilizoandika kuhusu tech hazionekani na ghafla naona post zote zimeibuka tena ila muandishi ni mtu mwingiine(Mzizi Mkavu)?
Ninayo ZTE Blade Android phone. Hii ni smartphone ya bei rahisi lakinni inashindana na models za bei mbaya. Kwa maelezo zaidi fika hapa:
ZTE Blade / Orange San Francisco Review: Two-Thirds Of A...
Wana jukwaa! Nilinunua laptop mwaka 2008 ikiwa inatumia windows vista basic. Miezi michache iliyopita niliipeleka kwa mtaalamu mmoja akanishauri nibadilishe windows na akaniwekea windows 7. Cha...
Kama unasoma makala hii toka online basi ni lazima utakuwa unajua kitu kinachoitwa kompyuta,hii kitu tangu ujio wake imekuwa na manufaa mengi yasiyo na kipimo,matumizi yake yameendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.