Pdf software

Madikizela

JF-Expert Member
Jul 4, 2009
588
500
Dear all

I Will highly appreciate if anyone will provide me with information on how I can get PDF software and how I can use it:frown:
 

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,233
0
Kuna aina mbalimbali za Programu za PDF Na Kampuni nyingi zenye bidhaa hizo pia ila ntakusadia kwa ufupi tu

Kama unataka programu ya kutengeneza PDF Kama una mtandao tembelea Create PDF Online Free. PDF Toolkit API for .NET, VB, Java, ASP for Programming PDF Server Applications and Converting PDF to Word. Fuata maelekezo mengi yaliyopo hapo Hii ni mpaka uwe na Internet kama huna internet unatakiwa programu ya kuinstall kama hii haitokusaidia nijulishe ntaweza kukuelekeza pa kupata Jijini Dar es salaam

Kama unataka kudownload programu za kusoma PDF na maelezo ya ziada tembelea Office and News Downloads - FileHippo.com
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom