Fully licensed.
Mwenye nayo aseme.
Magumashi nitajua kwa sababu hata mimi ni mtaalam vilevile.
Lazima ipite phase ka dhaa za uhakiki kabla ya kukupa mpunga wako.
PM me
wadau,Timu nzima ya AfroIT kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Afya,tupo mbioni kukamiliusha hatua ya kwanza ya tovuti ya afya.Tovuti ambayo itakuwa inakuletea mambo mablimbali yanayohusu...
Hello,
We have designed and developed 120+ complex website applications. Listed below are few domains where we have worked and can customize it as per your requirement. We can show the demos on...
The Hard Drive on your computer is where all your files are stored. Not only that, it's the place where the Operating System itself is installed. A hard drive is a physical thing inside of your...
Jamani ku-"share" "information" ndio siri ya mafanikio ya mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kama tuu tutageuza hizi information kuwa knowledge na ku-develop skills katika nyanja hii.
hapa kuna...
Habari wakuu,
Kutokana na ttclbb kutokuwa hewani kwa sikuu kadhaa hapa kwangu, naamua kuangalia option zingine. Ninayo usb modem HUWAEI EC121 ya haohao ttcl (sijawahi kuitumia bado iko boxed)...
Waziri wa mawasiliano sayansi na technolojia prof.Makame Mnyaa leo hii alikuwa Mbeya katika Taasisi ya Sayansi naTecknolojia Mbeya kwenye mahafali ya 5.Ameweza kuwatunukia wahitimu zaidi ya 200...
Nimesoma articles mbali mbali mbali zinzotabiri kuwa bidhaa inayoitwa CD& DVD storage and Drive zitakosa umuimu kwenye soko. kama ilivyokuwa Diskette. Leo hii Disk drive na diskette...
Hapa naorodhesha michache, najua nyie mwaijua mingi.
1. Brabara ya Kilwa, kuanzia Bandarini hadi Mbagala rangitatu
2. barabara ya kutoka Mbagala Rangitatu kwenda Charambe
3. Shekilango Road...
Hodi wadau wote!,
Hope yote ni wazima wa afya njema.
Mie ni mgeni kwenye kupost mada, hii ni mada yangu ya kwanza kuipost, Mara zote huwa napitia tu posts za wenzangu.
Ninashida na TV yangu aina...
Wadau naomba msaada wa kuunganisha simu yangu nokia 3110 classic na desktop computer ili nipate internet kupitia desktop yangu cm yangu inatumia internet isp ni vodacom ntashukuru kwa msaada au...
]So you bought a new blackberry. Cool ha! Now you want to do all the possible things with your blackberry. Check your mail, browse internet, etc.etc.. So how do I configure internet on my...