Kilongwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 423
- 116
wadau,Timu nzima ya AfroIT kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Afya,tupo mbioni kukamiliusha hatua ya kwanza ya tovuti ya afya.Tovuti ambayo itakuwa inakuletea mambo mablimbali yanayohusu afya.
Hivyo,kwa sasa bado tunahitaji maoni yako katika kufanikisha hili.