Re: Msaada, My LG TV Says "No CI Device" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Msaada, My LG TV Says "No CI Device"

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Shark's Style, Dec 7, 2010.

 1. Shark's Style

  Shark's Style JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 207
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Hodi wadau wote!,
  Hope yote ni wazima wa afya njema.
  Mie ni mgeni kwenye kupost mada, hii ni mada yangu ya kwanza kuipost, Mara zote huwa napitia tu posts za wenzangu.
  Ninashida na TV yangu aina ya LG model yake ni LG42LH2000, Situmii Satelite Dish wala decoder ya namna yeyote, natumia Antena ya kawaida (Miba ya samaki). So TV yenyewe ni HDTV yenye uwezo wa kupata digital television (DTV's) broadcasting hizi ni tofauti na zilizozoeleka yani Analog, hizo Digital TV's zina Display majina ya channels saved By broadcasters.
  Tatizo linakuja hivi, Tv inanionyesha majina ya channels kama ALJAZEERA,EMANNUEL TV,DW,SMILE CHILD,LOVE TV,CHURCH TV, nazingine za kibongo ambazo ni Digital TVs ambazo zote hazina shida.
  Shida sasa inakuja kwa baadhi ya digital TV's kama KBC,MTV,BET,TBC2,BBC,CCTV1-CCTV4, Hizi sasa pamoja na nyingine niki select zina kataa na tv inaniambia "NO CI Module" Sasa swali lina kuja hivi, Hiyo CI Device ndo nini?
  Pia, Je! Ukiwa nayo utaweza kuziona hizo channels zote? na Malipo je?
  Mwenye msaada Plz naomba anisaidie!
  Thanks,
  xxxxx
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
 3. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2010
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Tatizo linakuja hivi, Tv inanionyesha majina ya channels kama ALJAZEERA,EMANNUEL TV,DW,SMILE CHILD,LOVE TV,CHURCH TV, nazingine za kibongo ambazo ni Digital TVs ambazo zote hazina shida.

  Sijui nimekuelewa vizuri au la, unataka kuniambia upata channel zote hizi bila ya ungo wala decodor?. Na kwamba shida yako ni kwenye hizo ulizozitaja tu, ndio?
   
 4. Shark's Style

  Shark's Style JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 207
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Nikweli channel zote nilizozitaja zinaandika majina ktk TV ila hazioneshi ninapotaka kuzitazama inaniambia no CI module, Hiyo ni true kwamba naziona bila kuwa na dish wala decoder!
  Dingswayo Thanks Atleast nina pakuanzia!
   
Loading...