Heelp! Usb modem

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Habari wakuu,
Kutokana na ttclbb kutokuwa hewani kwa sikuu kadhaa hapa kwangu, naamua kuangalia option zingine. Ninayo usb modem HUWAEI EC121 ya haohao ttcl (sijawahi kuitumia bado iko boxed), nlivojaribu kuitumia leo asbh naona inagoma kuunga, haionesh hata network!! Sasa sijajua inawezekana settings za kwenye profile sizo, nisaidieni settingz mwenye nazo tafadhali. Pia nitafurahi kama nikipata na za Zantel, Voda, Zain, na Tigo.
Pia mwenye kkufahamu ni jinsi gani naweza kuifungua hii modem iweze kutumika kwa mitandao yote! Thanks
 
Kaka modem ya TTCL ni ya CDMA hivyo hautoweza kuitumia kwa Voda, Tigo au Zain coz hawa wanatumia GPRS na 3G hizo ni teknologia tofauti ila kama unataka kwa Zantel inawezekana kwa sababu wao wana CDMA ila lazima u-unlock hiyo modem yako coz tayari iko locked kwa TTCL. kuhusu kupata network ya TTCL nenda kwenye Customer Care Center iliyoko karibu na wewe.
 
Nashukuru mkuu, nimekusoma vzuri kabisa.
Vp Kuhusu unlocking ya hii kitu, unaweza kufahamu software yeyote ambayo inaweza kufungua hii?
Thanks
 
Laini ya TTCL iko registered.
Nimekuja kugundua kuwa haijasajiliwa, nimeshasajili ss napata net. Bado nahtaji kutumia Mtandao mwingine esp Zantel, Mwenye kujua kuanloki hii kitu pls. Tanks
 
Nimekuja kugundua kuwa haijasajiliwa, nimeshasajili ss napata net. Bado nahtaji kutumia Mtandao mwingine esp Zantel, Mwenye kujua kuanloki hii kitu pls. Tanks
Nimejaribu kufuatilia namna ya kui unlock hii inakuwa ngumu kidogo maana ni DCMA technology ambayo ni tofauti na 3G au GPRS. Utaona software nyingi za ku unlock ni za 3G sasa jamani ambaye anajua unlock software za CDMA amwage hapa msaada. Na mimi nahitaji maana ninayo modem hii lakini bei za TTCL MOBILE siziwezi ni kubwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom