Free Information Technology eBooks Part 01

MashaJF

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
246
195
Jamani ku-"share" "information" ndio siri ya mafanikio ya mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kama tuu tutageuza hizi information kuwa knowledge na ku-develop skills katika nyanja hii.

hapa kuna hii website utapata vitabu vingi sana na very current ila tuu inahitaji ujisajili, lakini nikuhakikishie usiogope kujisajili kwani nimei assess kwa miaka miwili sasa na hakuna shida, hawatumii email yako kwa kukutumia spam.

Main site ---- Realtime Publishers: Expert-Driven Online Media for IT Professionals

Kujisajili chagua "create profile" kutoka hapa Login | Realtime Nexus
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom