Prof.Makame ndani ya MIST.


Joined
Oct 29, 2010
Messages
16
Likes
0
Points
0

Mnyitono 2

Member
Joined Oct 29, 2010
16 0 0
Waziri wa mawasiliano sayansi na technolojia prof.Makame Mnyaa leo hii alikuwa Mbeya katika Taasisi ya Sayansi naTecknolojia Mbeya kwenye mahafali ya 5.Ameweza kuwatunukia wahitimu zaidi ya 200 vyeti vya stashahada.Na pia amewatunuku wanafunzi 8 waliofanya vizuri zawadi mbalimbali.Pamoja na hayo aliyeongoza kiubora zaidi ni msichana.Na ameahidiwa kupewa sponsorship ya kwenda nje ya nchi kusoma.
 

Forum statistics

Threads 1,204,074
Members 457,125
Posts 28,140,311