Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Removable flash memory sticks are pretty much one of the most handy little pieces of technology to come along in the last couple of years. They come in various shapes and their storage size can...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa naomba ushauri,inakuwaje post zangu zote nilizoandika kuhusu tech hazionekani na ghafla naona post zote zimeibuka tena ila muandishi ni mtu mwingiine(Mzizi Mkavu)?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninayo ZTE Blade Android phone. Hii ni smartphone ya bei rahisi lakinni inashindana na models za bei mbaya. Kwa maelezo zaidi fika hapa: ZTE Blade / Orange San Francisco Review: Two-Thirds Of A...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jukwaa! Nilinunua laptop mwaka 2008 ikiwa inatumia windows vista basic. Miezi michache iliyopita niliipeleka kwa mtaalamu mmoja akanishauri nibadilishe windows na akaniwekea windows 7. Cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama unasoma makala hii toka online basi ni lazima utakuwa unajua kitu kinachoitwa kompyuta,hii kitu tangu ujio wake imekuwa na manufaa mengi yasiyo na kipimo,matumizi yake yameendelea...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
[New] Samsung i607 i608 i617 Hard Reset & Soft Reset ...Complete Procedure !!! To reset the handset's factory settings, via menus, follow the steps below: WARNING: This Reset will Delete ALL...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
We have many appliances in our homes we use in daily lives. Have u ever asked yourself or do u know :- Technically how these appliances perform their function? What...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
If you have installed window XP on different partition or replaced the old window with new installation. Due to that you might have multiple entries for booting during startup representing those...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka kujua kuona kama kuna watu wanakuw wana click tu link au kabla ya ku click anajiuliza link ni salama au la Nani anaweza kunithibithisia hii link kama ni salama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wenye kujua link za progamme za kutengeneza magazeti,majarida ,vipeperushi anisaidie. hizi page maker vision 6.5 na vision 7 zinaonekana kutokuwa na option muhimu kwa kazi hizo. anayejua nzuri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hatimaye baada ya majaribio takribani 1000 nimefanikiwa kuingiza OSX 10.6 Snow Leopard kwenye Dell Optiplex 380 ikifanya kazi vyema kabisa. :ranger:
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Haya Watalaam nawasalimia kwanza nataka kuunda Computer yangu nauliza ipo bora kutumia CPU kati ya hizi mbili Model? AMD vs. Intel ? na Motherboard ipi iliyo Kiboko na Grphic Card kati ya hizi...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Today I've not been able to access the Internet using TTCL Broadband Service - And no word or any sort of notification have been issued by TTCL Management!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuunganisha internet kwenye simu yangu.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa kuifanya simu yako Wi-Fi HotSpot waweza kuunganisha kwenye internet laptop zako kwa wireless haijalishi ni laptop ngapi, zote waweza kuziunga kwa wakati mmoja. Download and install Joikuspot...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By ANTHONY MATHIAS KAYEJI 2010 HOW SCIENCE CAN BE POPULARIZED IN TANZANIA Tanzania like many other countries in the world has been making deliberate efforts towards developing and improving...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
habari zenu wana jamii 4rums ndugu tunaongelea mengi kwenye hili jukwaa kuhusiana na maswala ya computer ila nimekaa nikafikiri kwa mwanafunzi wa sekondari kompyuta inaumuhimu gani kwake...
0 Reactions
6 Replies
14K Views
Mwaka 2010 umekuwa wa kipekee kwa namna nyingi kwenye masuala ya teknohama nchini , umekuwa matukio mengi yaliyohusiana na teknohama nchini mengine ya kuharibu nchi na mengine ya kujenga nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania wezangu napenda kuwa fahamisha katika nchi za wenzetu chombo kama dstv kilichopo tanzania kina fanya kazi ya ku provide internet na television lakini kwa hapa tumeshindwa kufahamu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TROJAN ni mfumo wa recomand key ambao mafaili yana weza kuya fanya mafaili mengine kufanya yanavyo taka. FAIDA utumika kwenye crank vitu ambavyo vimelock urecommand computer uwa kama akimu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…