umuhimu wa kompyuta kwa mwanafunzi wa sekondari ni upi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

umuhimu wa kompyuta kwa mwanafunzi wa sekondari ni upi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by g.n.n, Dec 26, 2010.

 1. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  habari zenu wana jamii 4rums
  ndugu tunaongelea mengi kwenye hili jukwaa kuhusiana na maswala ya computer ila nimekaa nikafikiri kwa mwanafunzi wa sekondari kompyuta inaumuhimu gani kwake ukiachana na swala la kujisomea ambalo ni la msingi katika maisha yake je lipo lingine amblo ni vyema angefahamu 4 dis time.
   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  me nadhani kwa mwanafunzi wa sekondari anatakiwa akiambiwa neno computer yeye awe anasikia neno Encyclopedia.meaning yeye kwake computer ni chombo cha kujifunzia tu,sababu vijana wa sasa ukishaangalia pembeni tu ashaweka vitu vingine tena.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  umihimu upo.
  Ni kamam umuhimu wa kusikiliza radio kutizama televesion au kuangalia movie.
  Mwanafuzi mahitaji yake ni kama ya wat wote lakini kuna mahitaji yenye manufaa zaidi kwa kwa mwanafunzi.

  Mfano
  Television &movie
  badala ya mwanafunzi kutazama movie za Kanumba na tamhilia, mziki mara nyingi matumzi mazuri ni atafute documentary zinazofundisha . Zipo hata documentary za kibongo

  Internet
  Badala ya kutumia internet ku fb,kusoma pdidy anaishije huko US matuzimizi mazuri na endelevu kwa mwanafuzi ni

  • atumie kujiffunza kitu kipya kielimu kila siku iwe ni lugha sayansi, hesabu, biology.
  • Shule nyingi hazina vitabu kwakutumia internet anaweza kupata soft copy ya vitabu au kuapta machapisho mengine yanayoelezea somo fulani
  • Kama kuna practical hajaelwa kwa maneno anaweza kutafuta maelezo ya practical fulani youtube badla kutumia youtube kuangalia sanaa tu. Visual Inasaidia sana kufanya mwanafunzi aelewe
  Ni muhimu kama si mwanafuzi wa Chuo awe guided maana internet baadhi ina taarifa za uwongo na kupotosha na nyingine ni za na ukweli. I
   
 4. zolong1

  zolong1 Senior Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ni muhimu mwanafunzi wa sekondari kujifunza namna ya kutumia kompyuta kwasababu unakuta wanafunzi wengi wa chuo hawajui kutumia kompyuta na chuo ni muhimu sana mwanafunzi ajue kompyuta(internet) ili imsaidie katika masoma sasa unakuta mtu kafika chuo ndo anaanza kujifunza kompyuta na inakua shida kwao kweli.
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  well....!
  Mwanafunzi ni vyema akajua kutumia kompyuta(information Technology) na ikiwezekana awe na kompyuta yake ambayo ni vyema ikawa na internet access (LAPTOP/DEKTOP).....na katika vitu vya msingi (JAPO NI GHARAMA KUWA NAVYO) ni pamoja na printer,photocopy machine na scanner.....!
  Hii kwa ujumla itamsaidia katika kuandika,kusoma,kurudia(revision),mazoezi,reference,kuhifadhi kumbukumbu mbali mbali za maendeleo yake mwenyewe kimasomo na kadhalika..ambavyo faida mojawapo ni kuwa havipotei kiurahisi na uhifadhika kwa muda mrefu
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Computer as computer or computer with internet services, yote ni muhimu hasa kama tutawajengea uwezo wa kuzitumia inavyopaswa na sio kuangalia staili za nanihii na kutumiana upuuzi kwene fb!

  ila ni lazima tukumbuke kila kitu ni kizuri na ni kibaya, inategemea mtumiaji na hali halisi ya wakati huo!!!
   
 7. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Computer kama ilivyo ni kitu kizuri sana ukikijua angali ukiwa mdogo kwa sababu utakuwa na uwezo wa kushika vitu vingi kwa haraka. Jaribu kufuatilia jinsi vijana wadogo au watoto wanavyo jifunza lugha mpya na kuielewa mapema!. Mimi sasaivi natafuta P Q L zipo wapi kwenye keyboard yangu ila ningejifunza kutumia pc enzi hizo ningekuwa na speed sana. Kwahiyo kujifunza mapema kuna kusaidia kuwa na speed, uelewa, mimi nafikiri ni bora wakaaza kutumia hizi opochuniti pale zinapopatikana mapema maana ukishazeeka yatakuja ambayo yatakuzuia kujikita kwenye computer. Chukulia mfano wale wadogo hawataona aibu kujiandikisha kwenye beginners computer class, lakini du mimi nitajiuliza mara mbili mbili hii si noma kwenda kukaa na mitoto?
   
Loading...