Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,938
- 1,437
Nataka kujua kuona kama kuna watu wanakuw wana click tu link au kabla ya ku click anajiuliza link ni salama au la
Nani anaweza kunithibithisia hii link kama ni salama
http://www.h1.ripway.com/chamachetu/fun.gif]
Nani anaweza kunithibithisia hii link kama ni salama
http://www.h1.ripway.com/chamachetu/fun.gif]
- Je unatumia vigezo kuamini au kutoamini link kabla ya kui click
- Je hii link hapo juu ina usalama?
- Je ukiwa na Updated antivirus yenye internet security kuna haja ya kuwa na wasi wasi wa usalama ya PC yako au site unazotembelea?
- Je ukiulizwa usalama wa PC yako utaurate uko salama kiasi gani katika percentage (from 10% to 90% secure ). Sitegemi mtu aniambie PC yake iko 99% secure
- Je ni kitu au vitu t gani unadhani ni tisho ( Threat) kwa secirty yako, PC na mtandao ( Virus au trojan, au malware, hacckers, etc )