AMD vs. Intel: What to Get? Which is Better?

MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,977
Likes
5,349
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,977 5,349 280
Haya Watalaam nawasalimia kwanza nataka kuunda Computer yangu nauliza ipo bora kutumia CPU kati ya hizi mbili Model? AMD vs. Intel ? na Motherboard ipi iliyo Kiboko na Grphic Card kati ya hizi mbili ipi nzuri zaidi?
Nvidia VS ATI: Which is Better? Nawaombeni ushauri wenu Asanteni wote
 
VoiceOfReason

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
5,234
Likes
59
Points
0
VoiceOfReason

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
5,234 59 0
AMD sio mbaya tena ni cheaper lakini Intel utakuwa unalipia na Brand name sababu ni famous........ Hata kama capacity zake zitakuwa sawa lakini intel itakucost more kuhusu Graphics Card kama unataka for Gaming you can not beat Nvidia
 
Dingswayo

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
4,012
Likes
100
Points
160
Dingswayo

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
4,012 100 160
AMD sio mbaya tena ni cheaper lakini Intel utakuwa unalipia na Brand name sababu ni famous........ Hata kama capacity zake zitakuwa sawa lakini intel itakucost more kuhusu Graphics Card kama unataka for Gaming you can not beat Nvidia
Laptop yangu ina labels zinazosomeka 'Intel pentium Inside' na nyingine inasomeka 'NVIDIA GEFORCE with CUDA'. Sasa ipi ni ipi?
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,977
Likes
5,349
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,977 5,349 280
AMD sio mbaya tena ni cheaper lakini Intel utakuwa unalipia na Brand name sababu ni famous........ Hata kama capacity zake zitakuwa sawa lakini intel itakucost more kuhusu Graphics Card kama unataka for Gaming you can not beat Nvidia
Umejitahidi kujibu swali langu lakini mimi ninahisi Intel ni nzuri zaidi kuliko AMD na kuhusu Graphic Card pia ATı ni nzuri zaidi kuliko Nvidia kwa sababu hiyo Nvidia ukitumia Computer ya Desktop kwa mambo ya Games hiyo Nvidia ina Freez Computer kwa kufanya utafiti wangu nimeona hivyo sijuwi wenzangu wengine wanafikiriaje mawazo yangu asanteni...
 
C

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Messages
1,234
Likes
480
Points
180
C

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2008
1,234 480 180

AMD wanatumia ATI graphics card. Kwa ujumla ni wazuri zaidi ya intel. ukicheza game ya fifa2011 kwenye AMD utafikiri uko uwanjani. ninalaptop 2 zinazofanana kila kitu ila moja ni AMD na moja ni intel, mtotowangu kilasiku ananinyang'anya AMD ili acheze game intel inamzengua
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,977
Likes
5,349
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,977 5,349 280
Laptop yangu ina labels zinazosomeka 'Intel pentium Inside' na nyingine inasomeka 'NVIDIA GEFORCE with CUDA'. Sasa ipi ni ipi?
Kama hiyo Laptoıp yako inaweza kusoma hizo Label mbili yaani 'Intel pentium Inside' na nyingine inasomeka 'NVIDIA GEFORCE with CUDA' tumia hiyo 'Intel pentium achana na 'NVIDIA GEFORCE with CUDA' Lakini unanishangaza Laptop yako ya aina gani Model yake hiyo waweza kutupa Detail za hiyo Laptop yako samahani
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,977
Likes
5,349
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,977 5,349 280
Ati Radeon 4870 X2 vs. NVIDIA GTX280 OC - Clash Of The Titans! 
Last edited by a moderator:
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
44
Points
0
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 44 0
Haya Watalaam nawasalimia kwanza nataka kuunda Computer yangu nauliza ipo bora kutumia CPU kati ya hizi mbili Model? AMD vs. Intel ? na Motherboard ipi iliyo Kiboko na Grphic Card kati ya hizi mbili ipi nzuri zaidi?
Nvidia VS ATI: Which is Better? Nawaombeni ushauri wenu Asanteni wote
Mzizimkavu hakuna Nzuri wala mbaya katika hizo

Yote inategemea ni aina ya vifaa gani vingine utatumia.

Kama ulivyosema Motherbord ina subsytem nyingi. Kuna aina ya subsytem kwenye maotherboard inafaa Intel na kuna aina ya susbsytem inafaa AMD. CPU ni critical lakini inabidi uweke vitu vingine katika vigezo yako.

Kwa unafuu wa bei zipo CPU za AMD ambazo ni nafuu kuliko INtel
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,977
Likes
5,349
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,977 5,349 280
Mzizimkavu hakuna Nzuri wala mbaya katika hizo

Yote inategemea ni aina ya vifaa gani vingine utatumia.

Kama ulivyosema Motherbord ina subsytem nyingi. Kuna aina ya subsytem kwenye maotherboard inafaa Intel na kuna aina ya susbsytem inafaa AMD. CPU ni critical lakini inabidi uweke vitu vingine katika vigezo yako.

Kwa unafuu wa bei zipo CPU za AMD ambazo ni nafuu kuliko INtel
Pamoja na hayo uliyoyasema mimi kwangu nataka ubora wa kitu sio unafuu wa kitu kisha baada ya miezi Sita ninunue kitu kingine si unajuwa Mchina anatengeneza vitu vya feki tena kwa bei Rahisi sana unatumia miezi sita au Mwaka kisha unanunuwa kipya tena. Tabia hiyo huwa sipendi mimi Bora nitoe pesa hata zikiwa nyingi lakini niweze kutumia japo hata miaka 5 bila ya kuwa na wasiwasi kuliko kutumia pesa kidogo kisha baada ya miezi sita au mwaka mmoja ninanunuwa kipya sitaki hivyo.
 
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
44
Points
0
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 44 0
Pamoja na hayo uliyoyasema mimi kwangu nataka ubora wa kitu sio unafuu wa kitu kisha baada ya miezi Sita ninunue kitu kingine si unajuwa Mchina anatengeneza vitu vya feki tena kwa bei Rahisi sana unatumia miezi sita au Mwaka kisha unanunuwa kipya tena. Tabia hiyo huwa sipendi mimi Bora nitoe pesa hata zikiwa nyingi lakini niweze kutumia japo hata miaka 5 bila ya kuwa na wasiwasi kuliko kutumia pesa kidogo kisha baada ya miezi sita au mwaka mmoja ninanunuwa kipya sitaki hivyo.
Sawa lakini kwa nilivyosoma soma ni kazi sana kutengenasha na kupata ubora wa kwa kuongelea kitu kimoja

Kwa performnce nzuri ya graphics AMD inabidi utumie ATI graphics card
Kwa perfomrmannce nzuri ya graphics kwenye intel inabidi utumie Nividia

Kwa hiyo mtu akija kukupa ushauri kuwa INteli CPU ni bomba na ATI ni bomba anaweza kuwa yuko sahihi lakini combination ya ATI na Intel kwenye motherboard moja haiji na total perfomance nzuri.

Ndio maana hakuna jibu sahihi moja kwa moja. Usiende dukani ukanua CPU bora Ukanunua Graphic cad bora, Ukanunua Memory Bora. Unaweza kuwa na vitua bora lakini vikshindwa kufanya kazi kwa pamoja. Inategemeana.
 
C

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Messages
1,234
Likes
480
Points
180
C

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2008
1,234 480 180
Kama hiyo Laptoıp yako inaweza kusoma hizo Label mbili yaani 'Intel pentium Inside' na nyingine inasomeka 'NVIDIA GEFORCE with CUDA' tumia hiyo 'Intel pentium achana na 'NVIDIA GEFORCE with CUDA' Lakini unanishangaza Laptop yako ya aina gani Model yake hiyo waweza kutupa Detail za hiyo Laptop yako samahani
ni laptop mbili tofauti ila zinafanana tofauti ni moja inatumia intel na na nyingine inatumia AMD. ofcoz mida hii zipo huko kwenye pc room. nitakutumia models zake asubui. mimi nipo chumbani natumia desktop imeandikwa intel pentium inside. ninachoipendea ina touch screen.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,977
Likes
5,349
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,977 5,349 280
Sawa lakini kwa nilivyosoma soma ni kazi sana kutengenasha na kupata ubora wa kwa kuongelea kitu kimoja

Kwa performnce nzuri ya graphics AMD inabidi utumie ATI graphics card
Kwa perfomrmannce nzuri ya graphics kwenye intel inabidi utumie Nividia

Kwanini? Toa Sababu? ( Kwa performnce nzuri ya graphics AMD inabidi utumie ATI graphics card
Kwa perfomrmannce nzuri ya graphics kwenye intel inabidi utumie Nividia)

Any Reason Which?
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,977
Likes
5,349
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,977 5,349 280
Sawa lakini kwa nilivyosoma soma ni kazi sana kutengenasha na kupata ubora wa kwa kuongelea kitu kimoja

Kwa performnce nzuri ya graphics AMD inabidi utumie ATI graphics card
Kwa perfomrmannce nzuri ya graphics kwenye intel inabidi utumie Nividia

Kwa hiyo mtu akija kukupa ushauri kuwa INteli CPU ni bomba na ATI ni bomba anaweza kuwa yuko sahihi lakini combination ya ATI na Intel kwenye motherboard moja haiji na total perfomance nzuri.

Ndio maana hakuna jibu sahihi moja kwa moja. Usiende dukani ukanua CPU bora Ukanunua Graphic cad bora, Ukanunua Memory Bora. Unaweza kuwa na vitua bora lakini vikshindwa kufanya kazi kwa pamoja. Inategemeana.

ONA Hii COMPUTER YANGU İPO BOMBA MAELEZO YAKE NI HAYA HAPA

OS Name Microsoft Windows 7 Ultimate
Version 6.1.7600 Build 7600
Other OS Description Not Available
OS Manufacturer Microsoft Corporation
System Name MZIZIMKAVU-COMPUTER
System Manufacturer BIOSTAR Group
System Model P4M900-M7 FE
System Type X86-based PC
Processor Intel(R) Pentium(R) 4 CPU 3.06GHz, 3066 Mhz, 1 Core(s), 1 Logical Processor(s)
BIOS Version/Date Phoenix Technologies, LTD 6.00 PG, 2/24/2009
SMBIOS Version 2.4
Windows Directory C:\Windows
System Directory C:\Windows\system32
Boot Device \Device\HarddiskVolume1
Locale United States
Hardware Abstraction Layer Version = "6.1.7600.16385"
User Name MASTER-COMPUTER\MASTER
Time Zone GTB Standard Time
Installed Physical Memory (RAM) 3.00 GB
Total Physical Memory 3.00 GB
Available Physical Memory 1.17 GB
Total Virtual Memory 6.00 GB
Available Virtual Memory 3.84 GB
Page File Space 3.00 GB
Page File C:\pagefile.sys

ninatumia Intel na Graphic pia ya ATI Radeon 250 MB na hakuna wasiwasi ninaweza kucheza Game yoyote ile
 
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
44
Points
0
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 44 0
Nimekupata Mkuu Mtazamaji haya tunakwenda kwenye RAM na MOTHERBOARD

Swali langu ni hili
RAM: Which is better? Higher data speed or lower latency?

WHICH IS BETTER MOTHERBOARD BETWEEN BIOSTAR AND ASUS?
Mkuu hapa sijakupata vizuri lkini Higher data transfer or read/write speed ni bora .Na ukiwa una higher data speed means utakuwa na lower latency( Latency ni delay What is latency? - A Word Definition From the Webopedia Computer Dictionary)

Lakini hii pia inategemea size ya trasfer rate au read /write ya vitu kama Register/Bus/Cache

Katika soma soma zangu mtandaoni mara nyngi sana nimekutana na reviews za watumiaji zinasema ASUS kama ndio. Laptop/motherboard bora. Binafsi sijawai kutumia ASUS. Weye yako naona ni BIOSTAR unaweza kunipa experence yako. vp ikoje ?
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,550
Likes
642
Points
280
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,550 642 280
Unafanya makosa sana kutaka kununua kitu bila kufahamu unataka kufanyia nini.

Kwa mfano wakati nilikuwa na deal na graphics, AMD ilikuwa ikinisaidia sana.

Ila ikija kwenye miziki, ilikuwa ikidoda.

Watu wa IT hasa waandishi wa programs huwa wanapendelea Intel.

Sasa, jibu la kweli ni kuwa zote ni nzuri ila tu inabidi ufahamu unataka kuitumia kwa kufanyia nini.

Kama unataka kusoma Email na kuongea kwenye Skype, kwa nini kununua laptop inchi 18?

Ni sawa na kununua Semi truck halafu uwe unalitumia kwenda kazini ofisini.

Au kununua Nissan Micra halafu uwe unaitumia kwendea shambani.

Tujifunze kubana matumizi hata kwenye vifaa.

Ohhh, Desk Top computer? Tafadhali bana. Muda wake unakwisha ati.

Nenda kachukue Laptopm ila kumbuka RAM ziwe kama 4Gbt.

Computer za ALL-In-One na touch screen, sijui kama ni uchaguzi mzuri.

CPU zake nyingi ni ATOMs. Ni kama TV iliyowekewa ki-computer.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,977
Likes
5,349
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,977 5,349 280
Mkuu hapa sijakupata vizuri lkini Higher data transfer or read/write speed ni bora .Na ukiwa una higher data speed means utakuwa na lower latency( Latency ni delay What is latency? - A Word Definition From the Webopedia Computer Dictionary)

Lakini hii pia inategemea size ya trasfer rate au read /write ya vitu kama Register/Bus/Cache

Katika soma soma zangu mtandaoni mara nyngi sana nimekutana na reviews za watumiaji zinasema ASUS kama ndio. Laptop/motherboard bora. Binafsi sijawai kutumia ASUS. Weye yako naona ni BIOSTAR unaweza kunipa experence yako. vp ikoje ?
Kwangu mimi kwa kutumia BIOSTAR Motherboard ni nzuri ukiwa unatumia Windows XP sio Windows 7 kwa kutumia Windows 7 BIOSTAR iko Slow na CPU inaonyesha kila wakati 100%100 hasa ukiwa unatumia Mozillafirefox kwa sababu Mozillafirefox inachukuwa Ram

nyingi sana kuliko Google Chrome . ingawa Mozillafirefox inakwenda Speed kuliko Google chrome. Na google chrome uzuri wake ipo Safe haswa ukitumia google Chrome kwa kutafuta website ni nzuri na unakuwa huna wasiwasi unachouliza unakipata . mimi nilifikiri

wewe umesha wahi kutumia Motherboard ya ASUS? mimi Motherboard yangu ya Kwanza kutumia ilikuwa ni ya ( Gigabyte motherboards) kusema ukweli hiyo Motherboard gigabyte motherboards ilikuwa nzuri sana nimetumia kwa muda wa miaka karibu 4 pasipokuwa na

matatizo yoyote yale ikaja kuunguwa mwaka jana ndio nimeweka hii ya Biostar mwaka jan mwezi wa kwanza mpaka leo lakini bado sijaipenda kwa sababu ya hiyo CPU kuonyesha kila wakati CPU 100%100 wakati hakuna virus wala program zinazokwenda nyingi asante kwa ushauri wako.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,977
Likes
5,349
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,977 5,349 280
Unafanya makosa sana kutaka kununua kitu bila kufahamu unataka kufanyia nini.

Kwa mfano wakati nilikuwa na deal na graphics, AMD ilikuwa ikinisaidia sana.

Ila ikija kwenye miziki, ilikuwa ikidoda.

Watu wa IT hasa waandishi wa programs huwa wanapendelea Intel.

Sasa, jibu la kweli ni kuwa zote ni nzuri ila tu inabidi ufahamu unataka kuitumia kwa kufanyia nini.

Kama unataka kusoma Email na kuongea kwenye Skype, kwa nini kununua laptop inchi 18?

Ni sawa na kununua Semi truck halafu uwe unalitumia kwenda kazini ofisini.

Au kununua Nissan Micra halafu uwe unaitumia kwendea shambani.

Tujifunze kubana matumizi hata kwenye vifaa.

Ohhh, Desk Top computer? Tafadhali bana. Muda wake unakwisha ati.

Nenda kachukue Laptopm ila kumbuka RAM ziwe kama 4Gbt.

Computer za ALL-In-One na touch screen, sijui kama ni uchaguzi mzuri.

CPU zake nyingi ni ATOMs. Ni kama TV iliyowekewa ki-computer.
Ushauri wako ni mzuri lakini ukae ukijuwa Computer ya nyumbani kwa Familia ni Desktop Computer siyo Laptop bwana. kwa sababu ukitumia Laptop kwa Shughuli za nyumbani ni kama unaipa mzigo hiyo Laptop kwa mfano nyumba yenye familia ya watu 6 je utaweza kuitumia hiyo Laptop kwa masaa 24? Hutaweza

inaweza hiyo Laptop yako ikaunguwa. Bora uwe na Computer 2 moja ya nyumbani Desktop Computer na ya pili ya kwako wewe yaani Laptop ,huo ndio ushauri mzuri asante.
 
YeshuaHaMelech

YeshuaHaMelech

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
2,624
Likes
4
Points
0
YeshuaHaMelech

YeshuaHaMelech

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
2,624 4 0
I beg to differ a bit. When we come to low level, labels doesn't matter a lot. Both intel and AMD are doing great and they have their patners. As many have said Intel seems to patner with NVIDIA on graphics card and AMD with ATI. I think all ATI/NVDIA cards are doing great depending on the versions. The latest the better.

Once your computer (With intel/AMD) is having good overall specs (CPU speed and internal memory, RAM, Graphics card and its internal memory et al) OS abstracts you from them. So here comes another crucial factor, OS! If OS cannot make a good use of Hardware, then no matter how good they are, your OS will be a bottleneck!

As of RAM, it depends on internal workings (electronics) of RAM itself. If it is capacitor or transistor or otherwise. The better it becomes the better it perfoms and the higher is the price. It is long since I checked RAM thing so I'm not sure of the technology progress!

My 2 cents :happy:
 
VoiceOfReason

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
5,234
Likes
59
Points
0
VoiceOfReason

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
5,234 59 0
AMD unapata 90% ya performance kwa 60% ya bei. Intel has the most powerful CPUs which run cooler and use less power, lakini bei yake ni zaidi kwahiyo naweza kusema kwamba AMD NI VALUE FOR MONEY; LAKINI KAMA UNAWEZA KUSPEND ZAIDI NUNUA INTEL (yaani ukichukua the latest Intel na the latest AMD Intel itakuwa na performance zaidi) Lakini kuna issue moja COMPUTERS ARE NOT MEANT FOR GAMING.... ili upate Computer ya Kucheza Games vizuri unahitaji kuspend pesa nyingi sana... Graphics Cards, Sound Cards, Processors lazima ziwe top of the range... Nakushauri kama unacheza Game nunua the likes of Xbox; Nintendo au Playstation..... Ni cheaper in the long run..
 
VoiceOfReason

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
5,234
Likes
59
Points
0
VoiceOfReason

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
5,234 59 0
Laptop yangu ina labels zinazosomeka 'Intel pentium Inside' na nyingine inasomeka 'NVIDIA GEFORCE with CUDA'. Sasa ipi ni ipi?
Intel ni processor (na Kampuni mbili kubwa za processor ni Intel na AMD)... you can only have one....

NVIDIA ni graphic Card (kampuni kubwa ni NVIDIA na ATI) you can only have one....

kwahiyo wewe una processor ya Intel na Graphic cards ya Nvidia
 
Forum statistics

Threads 1,237,311
Members 475,501
Posts 29,284,113